@q.mediatz: Msanii @ibraah_tz ameonesha kuumizwa baada ya msanii mwenzake marioo kum-block kwenye mtandao wa Instagram aada ya kukataa kufanya nae kazi 🎥 RICK MEDIA #QmediaTz
mimi mwenyewe nilimtumia picture ya demu wangu akaniambia ni mmbaya ni mwache
2026-10-29 17:28:09
44
ᴅʀɪᴀᴅ :
Nilikua shabik wa ibraah ila sasa kama ngoma zote ni mbaya sabab hiyo album mi bado sjaona ngoma mamen, Marioo alichofanya amelinda brand yake, hiyo hata kina diamond mbna wanafanyaga.
2026-10-29 14:30:59
9
captain smoker11 :
yan ibra anataman san kufanya ngoma na marioo ila marioo ndy ana mkwepa we msikiliz ibra vizur utamuelew
2026-10-30 07:11:07
7
LELUU SCHOOL'S :
15/15
2026-10-29 13:40:06
5
B.a.d.d.i.e :
tupo na wewe Chingaaa🔥🔥🔥🔥
2026-10-29 11:39:50
43
Hamim :
Ibraa anapambana sana
2026-10-29 18:27:30
12
Chodo Santos :
jamaa yupo real sana
2026-10-29 12:02:14
18
@lunabelly255~ :
yn mm nakubali cn Ngoma zaa ibr
2026-10-29 18:26:11
11
abdul :
huyu dg analalamika sana shida nini
2026-10-29 10:08:46
25
Arez B :
Ibrah kwenye collaboration ni hatari
2026-10-29 14:16:55
14
Issamah kambwé⚽🇨🇩✅ :
Huyo dogo mkali sana , huko Congo 🇨🇩 tunamukubali na asiwe na hofu kwani tunapongeza sana kazi zake. Force à lui vraiment ✊🏽
Jaman,jaman usilazimishe Kila mtu akukubali 📌 Huwez kukubaliwa na Kila mtu na ndivyo maisha yalivyo 🙌
Fikiria ndug wa tumbo moja2 hawakosi ugomvi,chuki na migogoro na hata wengine kuuana haya wewe ni nani kwa MARIOO adi umpangie jinsi ya kuhic juu Yako 😁 upendo haufosiwi mwanet fanya halat zako ibuka kivyako muda utazungumz zaid kuliko izo lawama 🙌
2026-10-30 07:23:39
1
To see more videos from user @q.mediatz, please go to the Tikwm
homepage.