@omarimshairi: Nani wa kuchukua nafasi ya mangungu ?? January ndo hiyooo na atakaepata hii nafasi itabidi awe mtuu haswaaa asikubalii 🔕🚫✔️ kuyumbishwa yumbishwa SIMBA NGUVU MOJA 🏆❣️📌#TotalEnergiesCAFCL #simbasportclub #NguvuMoja

Omari mshairi
Omari mshairi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 09:25:46 GMT
25611
865
36
13

Music

Download

Comments

eliasaally735
bigii :
huyu mzee anaongea ukweli hawataki kumuelewa tu
2026-10-29 11:44:34
3
alphoncejacksoni0
NYILAMB🌻🌻🌻 :
😂😂😂😂reo uume amua kumwambia ukweli
2026-10-29 10:26:02
2
kimu_kimu_27
kimu_kimu_27 :
fact[Tears of joy]
2026-10-29 11:47:51
1
sherrie1511
sherrie1511 :
me natak manara. achukuee uwenyekiri
2026-10-29 09:54:18
1
user59378540832
stephen jonas samo :
wambie
2026-10-29 11:07:18
1
itc_cop
itc_cop :
mbna yeye haja move on kwenye usemaji kama ni rahisi!!?
2026-10-29 13:04:53
1
trezzly2025
Trezzly :
Ndio aondoke, anakomalia Simba why
2026-10-29 10:20:17
4
man752723
Man :
Leo nimekuelewa Manara. Mangungu aachane na Simba waingie wengine ili apumzike na kufanya mambo yake
2026-10-29 11:49:22
2
mussa.ramadhan17
Mussa Ramadhan :
kwnn nikunuime comment 😂😂😂
2026-10-29 11:51:55
1
ibrahimusheshe
sheshe boy :
mbona rais humwambii hivyo
2026-10-29 10:30:23
2
user1668042480497
user1668042480497 :
Manara gombea uwenyekiti Simba maana unaijuwa kweli
2026-10-29 11:43:31
1
sudimajid
sudi majid :
Kweli kabisaaaa Diwan aachie aondoke
2026-10-29 10:23:10
1
ismailayubu1
ismailayubu851 :
mi4 tena Mangungu
2026-10-29 10:33:54
1
user81358860019850
Northern Men :
Me mwenyew ndio swal nnalojiuliza kila cku kwann mangungu hataki kuachia madaraka wakati mambo cio mazuri 😎
2026-10-29 10:42:19
1
tatu09798
Tatu💕 :
Kqbisa
2026-10-29 10:55:13
1
hb.dengenho
Hb Dengenho :
Etii mshabiki wa Yanga huyu
2026-10-29 09:35:16
1
salhah437
Salhah :
kweli kabisa atoke simba
2026-10-29 10:58:26
1
user2593878500412
Najma :
Atumtaki
2026-10-29 09:48:04
1
sarah.mkumbo47
Sarah Mkumbo :
nikweli kabisa sijui anag'anga'nia nn
2026-10-29 09:37:03
1
masoudmasoud239
masoudmasoud239 :
kwani lazima uwe kiongoz simba mm ananiudh
2026-10-29 12:25:01
0
swedrashid
swed smart point :
achia kwani lazima aendeleeee
2026-10-29 13:10:43
0
mwan453
tik :
yann maulana
2026-10-29 12:24:00
0
kutoka14
kutoka14 :
2026-10-29 12:17:27
0
saida_20244
user74213815030 :
safiiiiiiiiii kabisa
2026-10-29 10:21:02
1
user4637680572926
user4637680572926 :
Huyu uelewa wake mdogo sana wa dhamana ya M/ kiti na msingi wa club ya simba ,simba ni club independent, Na mdhamini hawezi kuwa na mandate ya kuichukua club kupitia wachache wenye uroho wa pesa kwa kutenda kinyume na kuanzishwa kwake.
2026-10-29 13:06:26
0
To see more videos from user @omarimshairi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About