@adhisjojo: 😂😂 #viral #funny

Adhis Jojo (Mama Eliza)
Adhis Jojo (Mama Eliza)
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 29 October 2026 09:27:25 GMT
599781
60518
1357
6109

Music

Download

Comments

user9974982819400
galatians :
wangu aliniambia kwa hii nyumba kila mtu ako na baba kuna mtu mmoja hatujui babake
2026-10-29 11:44:14
2428
niller180
Nih🥂 :
Me nlikuwa nimekaa mlangoni mom akaniuliza baba ake ni Mlinzi ??
2026-10-29 15:42:25
1861
wabbuuu
. :
wangu aliniambia amka hata utembee usituzalie kiwete
2026-10-30 07:23:30
671
sice_omarwa
ceciliasimonda :
mim aliniuliza una mimba nikasema hapana ikapita week moja akanifata jikon akaniuliza umeshaanza klinik nikajibu bado mpaka yeye mwenyewe alicheka 😂😂 RIP MY LOVELY MOM🙏🙏
2026-10-29 13:44:37
763
blessed_vivacious
vivacious :
nilikuwa napenda kula magazeti akanambia naona unataka kuzaa millard Ayo
2026-10-29 17:51:13
288
evaasmile1
evaaSmile :
tulikuwa tumemaliza kula nmeinama nafagia akaniuliza iko na miezi ngapii😂
2026-10-29 10:59:02
1246
ruuh.bebe
Ruuh Msouth🦋 :
walijua kabla mimi mwenyew kujijua
2026-10-29 11:05:28
552
mamaprosper1
Mama Prosper💖 :
me nilikataa kula pork,nkaulizwa kwan n muslim😂
2026-10-29 17:27:01
193
norahsteven137
Miss Lyimo ❤️🌸🇿🇦 :
😂😂😂niliulizwa icho chakula kitawatosha kweli
2026-10-29 10:49:27
590
nashkimsavage
NASRA....62 ⚽️ 🦋 :
Mm ndo nilikuwa nikila sishibi Yan nakula tu mda wote nikiulizwa nasema minyoo nikaambiwa nimwambie baba ake minyoo anaitwa nyumbani 😂😂
2026-10-29 12:31:35
567
amerukan.girl
kawe🥰✨️ :
mimi nilianza kuulizwa nataka kula nini , nkajua bass , anyways a new happy granny in town 🥰
2026-10-29 11:39:56
144
nzojiyobirisamia
Pamloo🌸 :
Nilikuwa nakula barazani nikasema Sijiski kula mama akasema kula Ila uyo mwengine apate nguvu yakucheza cheza😂😂😂😂
2026-10-29 11:14:59
277
nyabigeso1
Neema Nyabigeso 1 ♐ :
Kuna Mimi niliambiwa amkeni mle jamani😂😂
2026-11-01 09:38:55
18
ms_lola3
ms_lola :
mi bibi angu alinijua siku nyingi akawa ananichora sikumoja usiku akaamka akaniamsha akanambia usilalie tumbo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 11:10:56
201
sweetie.ruu3
sweetie ruu :
guys stooooooooooooop😭😭😭😭
2026-11-02 12:36:11
0
norah2985
NORAH :
mi niliambiwa halifichiki Pembe LA ng'ombe[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-02 09:43:34
1
cansu9631
HADASSAH :
Mom jmn [Tears of joy][Big LOL]
2026-11-01 19:10:01
0
tuma.lauden
Tuma Lauden :
10/10 nalpa
2026-10-29 10:25:03
17
faahjuma0
faahjuma0 :
Mm nilikuwa mchoyo siku hiyo nikaenda nyumbn nikawapikia pilau na nikawanunulia soda nyumba nzima mama akasema anhaa mtt atakuwa mtoa sadaka mzuri huyooo😳😳
2026-10-29 20:17:31
85
annytahreekifee
Annytahree Kifee back up💦❤️ :
😂😂It was after breakfast nikaskia na huyu mtoto wako hapendi blueband😂😂😂nikajua baaas
2026-10-29 13:15:38
108
s.k.a.s.a.m.b
🫠🥰 :
Mimi mimba ikiwa na mwezi mmoja nilianza kujishtukia nikawa natembea nimeinama Fulani mama akaniambia tembea kawaida tu tumbo halijaanza kuonekana 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-31 05:56:52
22
baby.official84
baby.official84 :
Mimi aliniambia nimwambie imebak miez mingap ajiandae kuitwa bibi
2026-10-29 11:34:02
119
caramelnana21
she’s like rwandese🇷🇼🦋 :
Kuna siku nilikuwa nimelala mchana chumbani akaja kutuamsha akasem,muamkee mkaoge,mle mshibe mkatembee tembee uko nje mpate hewa😂😂😂
2026-10-29 21:01:16
32
evelucy61
Eve^kanzi🫠🙃 :
niliambiwa toka inje ata mtoto aoneko jua[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-29 11:04:11
75
calianna73
Caliah😇💕 :
🤣🤣🤣🤣🤣 msichana utakua mtoto na joto jamen😂😂😂😂
2026-10-29 10:38:19
93
To see more videos from user @adhisjojo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About