@arewis.tanzania1: ameokota mawe ya ajabu #kenya and tanzania trend everyone

Arewis Tanzania 🇹🇿 ♥️
Arewis Tanzania 🇹🇿 ♥️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 09:30:23 GMT
27036
729
102
129

Music

Download

Comments

manchino192
manchino 1 :
mawe ya nuclear ayo ni hatr lazma uwe tajir[Tears of joy]
2026-10-30 15:38:13
2
isebanks
isebanks :
☢️mineral
2026-10-30 13:34:07
0
mc.vullu
Mc vullu🎙️ :
Nileteeeee.
2026-10-30 09:38:16
0
alexelias057
Alex 🇹🇿 :
AI hiyo bhana
2026-10-29 19:25:44
1
sinic666666
rashfodii :
tuite jina gani ila jiweTanzania au
2026-10-30 19:05:57
0
bzmarkdaniel
bright :
kama msumali inayeyuka na jiwe sio la moto, inamaana kuna chemical reaction kati ya chuma na chemical content ambayo ipo kwenye jiwe, ungeenda mineral lab kupima nadhani utapata majibu sahihi
2026-10-30 03:03:12
7
mayram6200
mayram :
naliomba ilo jiwe nataka niyayushe ndoa yangu😂
2026-10-30 08:05:52
4
georgemnzava
gappy :
hiyo NI Allum hydroxide
2026-10-30 05:26:37
1
natashasaidd
𝖓𝖆𝖙𝖆𝖘𝖍𝖆 🍂🤎 :
Niazime nimyeyushie ex wangu
2026-10-31 00:58:58
0
flowerdar123
Smilingstar :
pesa hiyo kaka unalitangaza tena😂
2026-10-30 04:25:52
2
salome.msigwa
Salome Msigwa :
shaba iyo
2026-10-29 19:19:59
2
joseph.mnyamale
Joseph Mnyamale :
niuzie
2026-10-29 19:36:21
3
bin.salum12345
bin salum#/12345 :
apo kuna mambo haya✌️
2026-10-30 05:03:51
1
dalal_prince_rk
PRINCE_RK_DALALI :
King stone hilo
2026-10-30 03:24:50
0
faustindavidfrancice
mgwaneza ndushabandi :
mkoa gani kwanza sio unatupanga mwanetu
2026-10-29 18:31:05
2
akrama__99
Akrama__99 :
ww uko mji gani
2026-10-30 06:19:07
0
gasperngowi10
Antonio Texas :
Naliomba moja
2026-10-30 12:37:17
1
user5143277246381
Mizani_ya_Imani :
Linaitwa JIWE
2026-10-30 07:29:22
1
regnaldmero
kibaa :
ukilimwagia maji linakuaje
2026-10-30 16:57:14
0
tasilomlelwa
tasilomlelwa :
uranium
2026-10-30 19:04:29
0
mesispaul
🅜🅔🅢🅘'🅢 PAUL🍉 :
Tatizo Ai kaka kukuamini utasubiri sana
2026-10-31 01:10:47
0
rockyej1
Rocky :
Kwa ushauri sio salama kua nayo nyumbani inaweza kua inakuathiri bila wewe kujua so peleka kwenye taasisi zinazo weza kutambua ili ujue unaweza kua unajiumoza bila kujua
2026-10-31 03:36:49
0
kleweria
Kim :
Hapo kuna mambo haya✌️
2026-10-30 19:49:41
0
mohammedsalum4
kiponyo :
wezz mpoooo
2026-10-30 21:14:53
0
hanbiby78
Haiba Ally :
Subhan Allah
2026-10-30 20:44:44
0
To see more videos from user @arewis.tanzania1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About