@eng.didasshills: I just wish I had someone to tell what I’m going through. Maybe all I need is someone to say, ‘I’m sorry you’re going through this,’ and that would be enough for me. But God, I’m still not tired of trusting You😭🙏
May Jesus christ see through your heart,us humans we can't help 🥰
2026-10-29 19:17:13
0
Geee ❤️ :
nitapata tuuu hiii ajira kabla mwaka haujaisha🥲🙏
2026-10-29 12:28:25
12
neema maiko :
Hiii nyimbo nikiisikia nalia tu maana ndo mala yanguya kwanza kupanga chumba na sina kazi hadi leo na kodi inaelekea kuisha na sitamani nirudi nilipotoka Mungu nionekanie
2026-10-29 10:04:03
35
glory christian :
I need someone plz GOD
2026-10-29 10:09:24
1
Elcy :
Consider it done🙏
2026-10-29 10:26:30
0
pili :
29october
2026-10-29 20:18:37
0
!!ℐ𝓉𝓈 _ℳℯ*💋 🫴.. :
Sorry stranger 🥺Mungu atakusaidia utapita🥺Mungu anisaidiee na mm nipite apa aliponipitisha🥺😭
2026-10-29 13:39:21
2
Aniel46 :
Can i be your friend ?🙏
2026-10-29 11:56:39
0
official p :
🥺album.yako ile.lin inatok jmn
2026-10-29 12:23:10
0
Anieeh toto💜🌹 :
Mbn huu wimboo nimejalib kuserch sijauonaa jamn🥹
2026-10-29 12:20:37
1
Lee beuty🤞😜 :
Nikiwà na wewe siogopi chochote Bwana moyo wangu unakutamanu zaidi ya sana😭
2026-10-29 10:50:19
5
G :
nikisiki D anaimba hii nyimbo nasahaua kama Baba wa mtoto wang amefariki na kuniacha na mtoto wa miaka 2 na ndugu zake hawana time na sisi [Crying][Crying]
2026-10-29 20:11:36
1
Goodness Dickson :
leo umetupigia live,,safi kabisa,,barikiw
2026-10-29 11:42:14
2
@it'smomshay :
Mungu wew ndo unayajua ya moyon🥹🥹
2026-10-29 10:04:53
1
Pinkie shivaa💝 :
Kweli kabisa hata hili nalopitia litapita😭💯 kwasababu Mungu ndio alieiandika hatima yangu na kunichora kwenye kiganja chake 🥺 hakuna kinachomshinda yeye ni mkuu zaidi ya maneno yetu, hisia au machozi kutokana na tunayopitia kwenye maisha . Kuna muda nahisi kama nachelewa nikikumbuka yey anasema hawai Wala hachelewi anakuja kwa wakati sahihi najipa nguvu na Imani IPO siku yangu. nimepitia changamoto ambayo nimegundua watu sahihi kwangu ni wapi, nine experience kile watu wanasema hakuna maumivu mazito na makubwa pale unapopitia changamoto huna mtu wakumwambia unachojisikia Wala hali unayopitia unabaki kulia ukichoka unaendelea na maisha mengine uchungu ukizidi unalia t Tena ili uwe sawa. ubarikiwe sana kunamda tunashindwa kulia hata mioyo iwe SAWA ila nyimbo zako hasa hii inakua kama daraja na kutufariji 🫂🥺
2026-10-29 12:09:54
2
Esther_Stella🦋✝️🤍 :
Wewe ni sababu ya Maisha yangu eee Mungu wangu.🥺
2026-10-29 20:13:54
0
glory christian :
also me I need some one
2026-10-29 10:08:10
1
peaceegal💖💖 :
hii nyimbo kila nikisikia nalia jmn🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲
2026-10-29 19:17:18
0
iamyoungtopher🇹🇿 :
nani ameimba huu wimbo?
2026-10-30 04:28:37
0
🤎 official 🩷🤍collpenda💚💚 :
duuuh hi nyimbo inanifany nalia tu
2026-10-29 19:36:27
0
Ennig :
Amen
2026-10-29 19:51:21
0
Luu🦋💓 :
ooh my god🥲🥲🥲🥲
2026-10-30 03:36:26
0
rasmiyeah Caroline :
nafsi yang inakulilia ee bwana
2026-10-29 20:12:51
0
canily🥰 :
huu limbo uwa unanibariki sanaa
2026-10-29 20:42:37
0
To see more videos from user @eng.didasshills, please go to the Tikwm
homepage.