@mo_salaah_planner: ROHO MBAYA.. Aisee hii kitu ni kibaya sanaa kuna watu wanapenda wezao wapatwe na mabaya ndio furaha yao pindi wakiwaona wanateseka na wanataabika acha nkuambie ukwelii.. Haijalishi utajisikiaje utapangaje ila t lilipangwa na mungu limpate mja wake litampata t iwe Mali, riziki, maendele na piaa.. Lilelopangwa na mungu lisimpate hataa ukunje nafsi kiasi gani mwenetu halimpatii hilo nakuambia weka akiliniii... NB: SAFISHA NAFSI YAKO NA MUNGU ATAKUBARIKI.. by @mosalaahplanner jifunze|panga|Kua Follow Fb|Instagram|tiktok #millionviews #😍❤️ #trendingreelsvideo #creatorsearchinsights2026 #trendingvideo