Mtutumie na huku kwet jmn au hamfanyi delivery,, maana huku joto kama tupo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,😃😄😃😄😃
2026-10-29 17:04:17
10
Abrah Outfits :
kigoma ipi maaana nipo kgm😳😳😳
2026-10-29 15:09:12
3
mr.shine :
hiii kweli elnino[Embarrassed]
2026-10-29 15:18:09
0
Rebeka :
mvua ya leo ilikua niatali so kwa upepo ule jaman
2026-10-29 13:15:26
12
antonia amoss :
mungu atusaidie tu
2026-10-29 14:51:53
8
princess ree :
naomba hii ishuke nikiwa kwa babe wangu nisirudi home 😅😅
2026-10-29 18:53:28
2
THE GALAXY :
Kwani kuna mtu anawapuliza au?
2026-10-29 18:54:50
0
Zaidu Biyaga :
El Nino wapi halafu sisi binadamu sijui tukoje Yan tunashindwa kuamini utukufu wa mungu ila tunaamini binaadam wenzetu sasa swali mvua za namna hiyo haziwahi kutokea kabla ya watu kuiita hiyo El Nino?
2026-10-29 17:42:14
0
Ray macake :
Kesho inarudi tena
2026-10-29 16:10:16
0
Rahma anuary 🇹🇿✈️🇴🇲 :
Mungu baba leta elnino Oman 🇴🇲😂😂
2026-10-29 18:37:06
0
noela kigoma3435 :
mamaweeee
2026-10-29 14:46:48
0
minka mussa :
tuuuu
2026-10-29 18:47:15
0
Oliva Diami :
Inatisha kwakwel Mungu atunusuru na hizi mvua
2026-10-29 15:21:07
1
PHYNO :
mud ww unalekod ulikua wap kigoma maeneo gani hapa sas
2026-10-29 16:01:46
0
de Sj :
mammaeee😢
2026-10-29 11:53:48
5
🌸K -STAR⭐️🌸🦋 :
We napigiwa cm naambiwa mvua balaa
2026-10-29 18:10:03
0
RAC MICROFINANCE :
Noma
2026-10-29 12:24:06
1
ukhty aysher :
duuh😪
2026-10-29 11:47:37
1
dogo kalu👽👽 :
duuh so poa
2026-10-29 18:49:31
0
riziki kalonda :
leo upepo ulikuwa mkali mno huku napokaa mabat yamekimbia na upepo
2026-10-29 19:07:02
0
mom nasri😘😘😘💗💗 :
kwani nupepo au mvua
2026-10-29 18:34:31
0
Eubert Aniseth :
kwa leo bwana imetikisa kiasi chake na baadhibya wenzetu maeneo ya Mwanga vamia wamebomokewa na nyumba
2026-10-29 18:27:43
0
asmrwinnie :
Mmesahau nyumba ya uzale
2026-10-29 18:06:08
0
kimwany🥰 :
yoooh mung atusaidie kgm yet jmn
2026-10-29 10:20:18
0
To see more videos from user @kigomayetu, please go to the Tikwm
homepage.