Amina Raha ya milele uwape we Bwana na mwanga wa milele uwaangazie
2026-10-29 14:45:29
29
Justina Chulu :
Amina Fr Kessy.
2026-10-29 19:24:15
0
Frazia Willium :
Raha ya milele uwape Eee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani
2026-10-29 18:37:43
6
benny :
mpangaji mwenzetu huku hajawai kuonekana tangu 29oct
lkn baba usisaau wale 14 waliokuwa wanaangalia mpira pale mji mwema
2026-10-30 05:08:04
2
mussalwegasilalwe :
raha ya milele ampe Bwana na mwanga wa milele amwangazie 🙏
2026-10-29 17:32:39
6
Tz :
😭😭😭😭😭 hatutasahau mauaji ya Samia Kwa ndg zetu inauma sana Sana 😭😭😭😭😭
2026-10-29 13:54:59
10
Mr dillo the don💼🌎 :
Wapunzike kwa amani mungu atupe mwisho mwemaaa👏👏👏😭
2026-10-29 19:26:24
1
Elius Makundi :
Bwana Yesu. Wewe ni njia na mokozi wa maisha yetu ! Uwakumbuke hawa waliokatishwa uhai wao ,nakuomba Eee Bwana wakakae nyumbani mwako siku zote za maisha yao
2026-10-29 19:17:52
6
mussacostantine11gmail.0 :
marehemu wetu wapumzike kwa aman
2026-10-29 17:04:51
5
Junior cosmetics🍏 :
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Junior wangu amina 🙏
2026-10-29 16:01:17
6
Enock Makoga :
pumzikeni kwa amani wapendwa wetu wote mliowauwa 29 October na siku zilizoendelea bila hatia yoyote ile
2026-10-29 17:35:03
4
Hyasinta Shayo :
Amina,Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie,
2026-10-29 14:49:21
5
Joseph :
🥰🥰🥰🥰amen[Pray]
2026-10-29 18:17:06
1
Augustino Paul :
Raha ya milele uwape Eh Bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani
2026-10-29 18:08:49
3
january :
Mungu Aziweke Roh zao malehem mahala pema peponi🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-29 18:01:15
2
Shabiki bingwa :
RAHA YA MILELE UWAPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE WAPUMZIKE KWA AMANI AMINA🥺🥺
2026-10-29 18:25:24
2
user4480082507247 :
Mungu tusameh
2026-10-29 16:53:11
2
Triple A :
Amina
2026-10-29 16:02:56
1
lucy kidotii :
Ameen🙏
2026-10-29 13:53:15
1
Hendry Mremi :
tunakuombea sana Padre wetu vijana
2026-10-29 15:08:28
2
Alice Sanga :
amina mingu tujumbuke ktk maisha ya hapa duniani
2026-10-30 04:58:05
1
coltildampemba :
Amina , waendelee kupumzika kwa amani wapendwa wetu 💔😭
2026-10-29 16:21:24
1
chagua_afya :
Raha ya milele uwape Eeh Bwana,
2026-10-29 16:43:18
1
Ibrahimu Daniel :
amina🙏
2026-10-29 13:51:21
1
To see more videos from user @minedor_7264, please go to the Tikwm
homepage.