kumbe bungeni wapo wa kutoa hoja ila kutekeleza. ni kazi
2026-10-30 03:16:09
2
Deogratius87_Bundalah :
😂😂 Jumanne kishimba mbunge smart ever
2026-10-30 05:29:36
3
Ndasingura Godfrey :
hayo hayati magufuli sarikuwa ameyamariza?
yamerudi tena?
2026-10-30 06:33:39
1
banzi :
uyu baba
yu smart mno anaongelea uhalisia
ila wakuu naona wanaishia kucheka tu mawazo yake
2026-10-29 18:36:36
2
sr gogo lamavibich 333 :
yupo sawa kabisa
2026-10-29 19:26:11
1
user1957074063150 :
anamtazamo wangu kabisa yaani
2026-10-29 15:17:12
1
Majogoro Magesa :
mheshimiwa unasitaili kupewa nchi, unajua uwalisia wa maisha ya watu wako
2026-10-30 08:55:38
1
andrewalbat567 :
eeee ni kweli
2026-10-30 13:12:05
0
omihassan60 :
100%
2026-10-30 05:01:54
0
nestoryngailo :
mzeee ukovizuli xem kabisa
2026-10-30 08:06:42
0
Nashon bendiliba :
unamtangazia nani sasa izo tarifa
2026-10-30 06:45:09
0
gama mngoni :
kilichofanya niiende sokondal nihizopesa walizoniandikia mda wa kwenda from one
2026-10-30 04:09:14
1
ELON MUSK 4️⃣5️⃣💰🖐️🍁🌎🐐 :
Tuna safar ndefu sana
2026-10-29 12:29:28
1
ibrahimmistaazam :
ili jamaa lina akili sana
2026-10-29 17:41:48
0
Masanja Tungi :
mheshimiwa kwann wasikupe uraisi
2026-10-30 05:44:27
1
Mchina Tz :
Mbunge anaongea vitu vilivyomo ilakazi yenu kuchekatu badala mlie badiliken jaman wabunge hinchi bilanyie kuwa sawa haiwezi kunyooka
2026-10-29 19:16:16
0
shaxpier :
pale hirani kuna katoto kanaamka sa10 eti kanaenda shule dah..
nakaonea huruma Sana..
na mamaake nae anadamka ili kumuandaa nae ni bado yupo kwenye shida