mi mwenywe napenda kuoga nje sema tu likon shida tupu😂😂😂
2026-10-29 11:52:00
8
MimmahSpapa :
naangalia hii video nkiwa nnaangusha mattress chini😂😂💔💔
2026-10-29 12:57:50
2
MARYAM MARTIN 💥 :
kuoga mwarubaini nayo ni kweli hahahaha
2026-10-29 11:41:26
7
Tumu :
sisi wadigo ata ukiwa tajiri vipi bada na papa wanazi lazima
2026-10-29 12:35:43
4
Omar Hassan :
hapo kwa taarab ndo kwenyewe 🤣🤣🤣
2026-10-29 13:46:53
2
Alikodango :
Ujaona jina lengine ni alii
2026-10-29 12:10:51
1
Da cute 🥰🥰 :
Nimekuona ferry leo
2026-10-29 13:45:20
1
Sultan_Othman👑 :
Hayo yote...napatikana kila mahali,Yani siezi kosa kabisa 😂😂😂😂😂
2026-10-29 13:29:57
3
BI ZEDY :
😂😂😂 kweli mwanangu
2026-10-29 15:06:06
1
cutie popo :
kweli
2026-10-29 13:27:02
1
Wema Rshid :
asalam alaykum nimimi ustadhi wema wa mariakani tukakutana pale nyumbani maulidini mwaembe nakukumbusha uliniaidi utakuja kwa madrasa yangu uku mariakani
2026-10-29 13:57:17
1
binty.billad :
usha sema
2026-10-29 14:31:31
1
salimkiponda :
nkazi kamwee
2026-10-29 15:03:38
1
@Rizwana002 💙❤️💫 :
😂😂😂🤣🤣🤣
2026-10-29 14:09:08
1
mpajingumbao882 :
kweli
2026-10-29 14:48:33
1
Ummu juneid :
2026-10-29 14:27:53
1
Ali sayyid :
ukaona utaje Ali sister Aya swa 😂😅
2026-10-29 11:36:36
1
Asha vijora :
muarubaini wa mlume wangu
kuoga phonze mimi mweneu 🤣🤣
2026-10-29 13:10:14
2
🦋City🦋 :
kuoga mwarubaini mbon iyo n lazima😂😂😂
2026-10-29 12:41:43
1
Rasschild :
shangaa jeee 😂😂
2026-10-29 13:49:07
1
Zubeda Hussein :
kweli
2026-10-29 13:04:41
1
To see more videos from user @digotiktoker1, please go to the Tikwm
homepage.