huyo jamaa amepitia kama mim ila nashukuru mungu nilifanikiwa kuachana nae mpaka saiv nipo single mpaka mwili umerudi
2026-10-30 05:44:40
2
user3585392936274 :
mm ni mwanake ila huyuuu dada alinifanya nikajitambua inshaala saizi nikimpata muislam ndoa ipo
2026-10-29 18:05:18
2
asha shamis :
hakika
2026-10-29 15:21:50
4
j4 majumba :
Allah akuzidishie dada...
2026-10-30 07:03:23
0
asadabdul39 :
tausi
2026-10-30 09:33:37
0
Stella Yusuf :
kuanzia Leo nitakua bubu
2026-10-30 10:28:16
0
jirani :
mbona najiona kama mm
2026-10-30 10:37:27
0
sele 8 :
duh basi ayo yatakuwa manyanyaso ata kama mmekosana ndo umpe jina la mnyama mbona mm nimekolofishana na tukahachana na mama wa mtoto ila siwezi mpa jina la mnyama kwa sababu uko nyuma alishawai kuwa Moja ya fulaha yangu japo nimeumia sana ila nakutakia maisha mema
2026-10-30 12:25:22
0
Sadick hussein :
2026-10-30 06:48:33
0
Allmando :
Duuh ww ni mama ya yesu naamini
2026-10-29 20:43:11
0
Pikson :
tuliacha kuomba tupikiwe sasa tunawazq kwenda katoro kuboresha mqishq
2026-10-29 12:37:17
2
sly foxy :
we mama wape somo wanawake wasojielewa
2026-10-30 04:56:07
0
frenki chaless :
nikwel nawapo wengi ila wamengwata meno nimbaya sana
2026-10-30 11:06:12
0
user7319126820929 :
mi kwakweli sitakuja kuoa kama kutokioa ni dhambi bas acha nikachomwe moto
2026-10-30 17:18:22
0
Bokelo💐😘 :
shida Kuna wanaume wanao mfanyakazi sio mke mtu hajaenda kazi ladba hiyo siku atakalia simu usumbuke siku nzima na usiku akusumbue afu asubui pika chai weeeeeee
2026-10-29 14:15:44
1
Salum Haji :
💯🌹🌹🌹
2026-10-30 19:47:11
1
To see more videos from user @diligencefx_market, please go to the Tikwm
homepage.