@shuu09282:

SHUU 🙈💘🫵
SHUU 🙈💘🫵
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 11:40:02 GMT
100599
8020
769
370

Music

Download

Comments

user86038054851
vedastusjackson Gmail :
[Red heart][Red heart] mambo ilove
2026-11-01 00:02:40
0
iddiamani72
Iddi Amani :
acha we
2026-10-31 17:30:54
0
salmahaji8148
@$@lm@22 :
awe wa kher t
2026-10-30 05:12:38
0
allymdira8843
Ally,mdira :
umetisha bibiye respect
2026-10-31 19:59:04
0
canyiiiii
Ms natty🇷🇼 :
Sasa we omba mungu asikupe mume wangu🤣binti me huo wema sina
2026-10-30 04:04:40
65
abdullakhamis5
Abdulla Khamis :
Sisi madereva wa school bus tunaomba wazazi mpunguze maji kwenye juice za watoto.😂😂
2026-10-29 14:54:17
62
sinabifu
Chawote :
mke tunae hatuna ????
2026-10-29 18:18:48
27
zainabu.awadhi7
Zainabu Awadhi :
mwambie mm b
2026-10-31 11:25:04
1
unknown.retriever6
unknown retriever :
asante
2026-11-01 02:13:42
1
shuu_design
shuu💫♥️ :
huyooooooo status 😂😂
2026-10-30 19:34:03
1
sajida.mohamed93
Aisha heena arusha :
Bint msumi hakikisha akupi mume wangu maana utajuta kunifaham😂😂
2026-10-30 06:43:28
16
zainabu.abasi7
Zainabu Abasi :
kweli kabisa kaka yangu anatafuta mke wapili
2026-10-29 12:54:06
10
mamushkah.kipin
Mamushkah kipin :
wew ni mimi kabisa yaaan wallah 😂😂siwez kupingana na kadari za Allah abadan 😁😁
2026-10-31 05:02:02
4
mama.zuri5
MAMA zuri :
swaswa hapohapo
2026-10-31 07:32:19
1
hdaniel.ngwandu
hDaniel ng'wandu :
Mungu humpa mtu mke mmoja wa 2 uasherati Mungu alimpa Adamu mke mmoja tu
2026-10-30 13:27:48
1
chindo867
dullah jaiva :
nipo apa dua zime jibiwa 🙏🙏🙏🙏
2026-10-29 18:12:37
2
ashaallyjuma8
ashaallyjuma515 :
Mungu ajalie upatewangu
2026-10-30 04:46:44
5
fiatrihnamgalula
officialtee🍒 :
yaan mimi kwa kweli siwezi pingapana na Tahhajud zangu NAOLEWA VIZURI TU🤣🤣mm nani nipinge MUNGU💃💃💃💃💃😅😅😅😅😅😅
2026-10-31 03:49:42
3
user8083361918380
[email protected] :
😂😂😂🙏
2026-10-29 19:29:46
1
mwajuma19933
MWAJUMA1993 :
safi dada
2026-10-29 15:48:39
2
abasimtai
Abasi Mtai :
nipo
2026-10-30 01:42:02
1
hasnaaa644
Hasnaa collection Moshi 👗🧕🏻 :
😂😂😂Shuuuuu
2026-10-29 16:42:27
2
mrsabbaas
Mrs Abbaas🌹🌹🌹 :
mnaona huku kwenye ndoa tunafaidi wenyewe
2026-10-30 07:59:24
2
mahamudujafari
hamza tull wasl :
wew unaijua dini wengine hawatak kuolewa mke wenza mashaallah
2026-10-31 06:46:36
1
sweetzebu
💕Ukhty Zay 💕 :
Sasa je, nipingane na mungu nipate laana😂😂😂
2026-10-31 08:59:26
0
To see more videos from user @shuu09282, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About