@bbcnewsswahili: Tazama mke wa kwanza akimkaribisha mke wa pili madhabahuni! 😮 Mchungaji mmoja nchini Marekani amezua gumzo mtandaoni baada ya kumtambulisha hadharani mke wake wa pili kanisani, huku mke wake wa kwanza akimuunga mkono mbele ya waumini. Israel T. Ford, mwanzilishi wa kanisa la LifeWorks Church katika jimbo la Ohio, alimkaribisha Shakayla Ford wakati wa ibada. Kilichowashangaza wengi ni jinsi mke wake wa kwanza, Lydia Ford, ambaye pia ni mchungaji mwenza, alivyompokea Shakayla na kumtaja kama "dada yangu katika ndoa" Je, unaunga mkono ndoa ya mke zaidi ya mmoja katika Ukristo? Kwa nini? Tuambie maoni yako kwenye sehemu ya maoni! #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #fypシ #imani #ndoa #mapenzi #foryou
bbcnewsswahili
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 11:56:59 GMT
Music
Download
Comments
Olly :
Bora uyo mkweli kuliko wale wenye michepoko na wanajifanta ni watakatifu
2026-10-29 13:25:55
18
NANA juice :
Tusisahau wanaume ni wachache wanawake ni wengi kwahyo nawapongeza sanaaa🥰🥰👏👏
2026-10-29 12:34:11
12
Mariam Kissi :
Bora kuoa kuliko kuzini tena kwa siri🙏🙏
2026-10-29 14:08:43
4
PLANBTz🇹🇿 :
Apo kun mamb aya ✌️
2026-10-29 12:06:47
10
fundilapulga :
UISLAMU UTADHIHIRI SANA ZAMA ZA MWISHO
2026-10-29 13:57:34
6
A1 :
Hilo dini linafika lini tanzania 🇹🇿 ?
2026-10-29 15:43:26
1
Ma Mkwe💕💕 :
Natamani ifike mpk huku Tz mi kuna Mch nampenda
2026-10-29 14:10:27
3
Raveer Platnumz 💨🦴 :
Huu Ndio Ukweli sasa 🔥🔥🔥
2026-10-29 12:11:03
8
dayo boy kgm :
kwanz mchungaj gan ana tatoo
2026-10-29 13:28:09
6
John Mcelroy :
I want to join that church 😂😁 is it in Kenya 😂😂
2026-10-29 14:01:24
5
PANTA BO¥_ Official :
Ndoa n moja 2
2026-10-29 15:36:41
2
. :
ila jamaa anajua kuchagua 🔥 vitu vyangu kabisa
2026-10-29 12:43:52
5
Gédéon :
hiyo sikanisa ya Yesu
2026-10-29 12:59:28
1
Ycb_simba🇹🇿🇦🇹 shia 🇮🇷 :
kawaida tu
2026-10-29 13:19:21
2
Harrison Harrison Rabiamen :
Naunga mkono
2026-10-29 15:23:31
1
Mathew :
Zinaruhusu
2026-10-29 14:16:49
1
v kimwanya🌹🌹🌹🌹 :
Roma haturuhusu
2026-10-29 14:33:46
0
mshalethe :
mashaallah
2026-10-29 12:50:10
4
GRANDMASTER PRO STORE :
Yuko sahihi, agano la kale walikua manabii wa MUNGU na walio wake wengi, agano jipya ni mitume ambao ni watu wa kawaida, ndo waliunda hizo sheria, wake wengi ni sahihi
2026-10-29 14:30:42
1
cross :
nimemuunga mkono
2026-10-29 15:58:20
1
Hikups Kikons :
hapo kuna mambo hayo
2026-10-29 14:59:41
1
Itshim🤬 :
Mke
2026-10-29 12:05:00
3
sonko :
naunga ndoa hio
2026-10-29 14:41:59
1
Aisha heena arusha :
KARIBUNI NACHORA HEENA
2026-10-29 15:17:02
1
iam_geilla :
Kuna wengine nimeona jana mchungaji ana waume wawili, nimesahau jimbo 😂
2026-10-29 14:13:00
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.