@mrtruelove14: ❤️🥹 SIKUPENDI KWA SABABU YA UZURI WAKO, NAKUPENDA KWA SABABU YA AMANI UNAYONIPA MOYONI MWANGU. 🫂❤️ Kila nikifumba macho, ni wewe tu ninayekuona. 😍💍 Na kila nikiomba kwa Mungu, ombi langu ni moja tu: akulinde na atupe nafasi ya kupendana mpaka uzee wetu. 🥹❤️🔐 💌 Kama unampenda mtu kwa dhati, mtaje hapa chini. 👇❤️ 🔥 Follow REVOCATUS kwa ujumbe mtamu wa mapenzi kila siku! ❤️ #Mapenzi #PenziLaKweli #UjumbeWaMapenzi #TrueLove #Mahusiano