@ditiibhatt: Let’s clear some things up real quick 😂🇮🇳🇹🇿 Not everything you hear about Hinduism is true, so let’s talk about it! 👀❤️ #hinduism #tanzania #arusha #educational #explorepage
ditiibhatt
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 12:56:52 GMT
Music
Download
Comments
Chebi Elkasabiy :
You are right my sister
2026-10-29 19:34:59
1
s :
wanted to ask, why does Hinduism support racism through cast system, are all humans not equal??
2026-10-29 19:46:58
0
omary :
exactly dear sister 😊
2026-10-30 04:16:23
0
صبر 🥹 :
Respect for every religion 🙏.
2026-10-30 04:54:23
0
Elijah :
okoka YESU ndio njia pekee
2026-10-29 18:15:54
34
Eddy@eddy :
amazing
2026-10-29 17:46:07
0
dee du master :
Nina swali dada muhindi... ivi nyie jamaa mbona munatuma Sana.,
2026-10-29 17:27:10
61
ysfmab :
mbona mjini mmeweka temple za wahindu masikini na za matajiri tofauti??
2026-10-29 15:38:33
22
SALUM :
Asante kwa kutuelewesha ❤️
2026-10-29 17:27:31
5
Jojo Or :
Hello mrembo
2026-10-29 22:16:52
1
Pearson Hardman :
vipi kuhusu ubaguzi kwa watu weusi and Caste system?
2026-10-29 14:36:08
5
tampela maulus 🇹🇿🇬🇧 :
Nakupenda 😂
2026-10-29 18:45:42
1
Moraka :
Mimi ni muafrika mweusi je ninaweza kujiunga katika dini ya Kihindu ??
2026-10-29 17:22:54
1
♡ 𝐾𝑒𝓁𝓁𝓎 ♡ :
Well said
2026-10-29 18:06:30
1
faith Arthur :
Asante kwa ufafanuzi
2026-10-29 21:03:48
1
me :
Sio “kunwa mkojo” ni “kunywa” baby
2026-10-29 21:01:53
0
Fundi bomba :
Samahani uyu ndio Jihan.?
2026-10-29 23:04:30
0
www.7l50 :
dada dini ya haki ni uisilamu tu niwe china niwe India niwe Tanzania niwe nchi yoyote naswalisha silimu mdada
2026-10-29 18:58:18
1
Ghulam Abdushakur :
kitabu Cha dini kihindu kinaitwaje?
2026-10-29 22:20:06
0
Devine Cosmetics Dodoma :
Asante kwa ufafanuzi
2026-10-29 20:13:10
1
ysfmab :
mimi sio mhindu na nataka kuoa mhindu…. nitaruhusiwa??
2026-10-29 18:51:48
1
African boy :
karibu kwenye uislam🥰
2026-10-29 21:21:20
4
ℳ 🦋🥰🦋 🇹🇿 :
SWALI ✋🏾 Kwann Mwanamke anatoa pesa ya mahari na sio Mwanaume kwann?
2026-10-29 21:47:21
0
mr :
nawezaje kuwa pamoja kwenye dini yako
2026-10-29 21:26:35
0
Bekamu Kasumail :
natka tuigize move uwe Qeen wa snema maan we n mzur saan au we n mtanzania mbna unaongea kiswahili kunizid mm
2026-10-29 17:28:04
1
To see more videos from user @ditiibhatt, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.