@wasafifmredioupdate: Anaenda kama mtetezi wa wanaume wote Duniani @hanifajikelachui, hana baya Cc. @tinna_tuner @monicakinyami #WasafiFm #mashamsham

WASAFI FM
WASAFI FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 13:11:40 GMT
151253
7127
148
340

Music

Download

Comments

kamilmamie
meme :
hata sisi wanawake hata mtuchunge vp nje pia tunatoka😁😁
2026-10-29 15:13:44
93
eva.augustino5
Eva Augustino :
haya mambo yasikie kwa mwenzio tuh
2026-10-29 16:22:20
46
ctyamiry
ctyamiry :
lkn uke wenza una Raha yake siku 2 huko 2 kwangu naona Raha sana tusirogane tuu Kila mtu na maisha yake na sitaki stori Sina wasi wasi mm natulia na huduma ziwepo na jeuri Zang kimyaa sitaki shari wala sintafuti kimya kimya mm ndo ivo
2026-10-31 18:52:39
11
ashaturkey
asha turkey 🇹🇷 :
huyu mama ni mimi mtupu
2026-10-29 13:54:27
21
maitham.khamis
Maitham Khamis :
sasa kuna mwanaume akakwambia naenda gesti
2026-10-29 14:30:05
2
xwachi_boy594
lady mishii :
Mke mwenza mamangu 2 binti kombo mama wakambo sijawai Ona mungu hakumpa kizazi lkn alhamdhulilai akipokea mamangu natumezaliwa sisi nametuelea sisi na babaetu wamesaidiana maisha wake namume wao Bila chuki alhadhulilai mpk amemzika baba mungu azidi kuwapa umri mamazangu
2026-10-31 05:16:51
4
user1192465280000
aminahussein99 :
mim naogopaa kuolewaa
2026-10-29 18:25:50
6
hopebee8
The priestess 👑0719554422 :
wallai III sipendi
2026-10-29 19:00:41
1
sajida.mohamed93
Aisha heena arusha :
KARIBUN NACHORA HEENA❤️
2026-10-29 23:20:51
3
najimakimaro359
Najima Kimaro :
jmn kwan mashamsham skuiz kipindi n saa ngp jmn na ni siku gani
2026-10-29 18:48:26
5
mariamungusa367
ma jd :
namimi natoka kwani yeye ananiona
2026-10-29 15:29:48
6
elizabeth.moleli
Elizabeth Moleli :
mwanaume hawezi kugawa upendo mara mbili wala mara nne
2026-11-12 23:22:51
0
miss.selfcare8
Miss selfcare :
me ndomaan naogopa kuolewa
2026-10-29 15:48:49
6
ayshley578
MA mwinyi :
Haya jamani tui n lakwanza tu😂
2026-10-29 15:35:30
1
user6633036632245
Ann wavinya :
uke wenza nao una wenyewe mm ni bora ucheati bila ya kunionyesha lkn kuniletea.mke mwenzangu🤐😲😲
2026-11-01 05:46:36
4
mwajabungereza
ummi,ngereza :
kweli kipenzi Changu upo sahih
2026-11-03 08:43:59
1
ndayishimiyeadja95
Ndayishimiye adja :
kweli kabisa da chiku
2026-10-31 08:06:34
1
mwasity.dikinga
mwasity dikinga :
nakupenda sana saut ya kinanda
2026-11-02 08:01:32
1
halima.shengo
Halima Shengo :
mimi nilipata fulani ya kusalimiana lkn siku. hiyo hiyo nikatupiwa na kijini ila namshukuru mungu nilipikwa upembani kilimrudia mwenyewe akaumwa km nilivyoumwa mie lkn nimetoka sbb siitaki dhyimmah ya ushirikina cjamuona hajaniona labda ameniona ktk picha tu lkn kaniroga
2026-11-01 21:00:41
1
saudat.8
Saudat💕 :
AO waze wazaman lakin vijana wa sasa wanaowa fashion
2026-10-31 06:12:32
1
miss_rey805
Miss_Rey8 :
wanaume hata waoe wake 20 jamani hawatulii katu
2026-10-29 21:44:52
1
melania.mkumba
Melania Mkumba :
mmmmm mimi siwezi jamani
2026-10-29 16:10:15
1
tumain.kibinza
Tuma 🦋✨️✅️ :
mbn me nimezoee naleea to watoto wangu
2026-10-29 17:18:50
1
carlyx26
carlyx26 :
Mungu nisaidie mimi uke wenza hapana 🙌 niepushe na uke wenza Mungu wangu 🙏😢
2026-11-07 13:28:42
0
nagmaoman0
nahya :
mimi akiwa na uwezo na hanijali na kuwa mzinifu siwezi kuvumilia
2026-10-29 15:08:47
0
To see more videos from user @wasafifmredioupdate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About