@global_trend_tz: #globaltrendtz

Global Trend TZ🇹🇿🇹🇿
Global Trend TZ🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 13:24:33 GMT
120752
4128
189
192

Music

Download

Comments

shedrack1482
shedrack :
hiyo ndo bongo bhanaa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-30 21:26:43
0
jonahsacknoy
Jonah Sacknoy :
waacheni watu bana mbona shule za serikali ni mbovu mara 100 kuliko hiyo au kafanye hivyo kwa shule ya serikali
2026-10-30 08:37:33
59
adelaida.peter
Adelaida Peter :
Wivu tu, za serekali mbovu kuliko hiii😂
2026-10-30 07:27:34
35
user7663015499211
ben :
kwann wasikague shule za serikali???
2026-10-30 12:22:09
25
user149510555577
Nanguka :
Sawa ni kiongozi ila Lazima Uwe na Busara na Upendo
2026-10-29 14:53:08
34
goodluckymosha
Ap Goodlucky A.B Mosha :
Mmiliki apewe tu maelekezo ya nini arekebishe maisha yaendelee maana anaisaidia serikali kazi.. huduma anayoitoa sio jinai!
2026-10-30 19:06:58
13
bervone
Bervone :
Ila shule bado ni nzuri kuliko za serikali
2026-10-30 06:51:28
21
pross32
pross :
laki sita kwani hela nyingi....
2026-10-30 09:05:38
8
allernkassim
Ali :
daaah mwanangu ndo anasoma hapa jamani😂
2026-10-30 07:46:02
5
tembasclassicfash
TembasClassicWear :
shule gani na ipo wapi
2026-10-30 10:11:28
4
hamzamsusa
Msusa wa Msusa :
naomba kujua pingu hufungwa kwa mtuhumiwa wa aina gan ,
2026-10-30 03:16:28
5
mariampeter6030
mariam :
sasa hivi hata kusomesha watoto hizi shule ni kupoteza hela
2026-10-31 05:14:55
0
saidkalokola749
Said Kalokola :
Sasa maafisa elimu walikua Wapi?
2026-10-30 04:08:50
15
anigrandy783
🌹 :
mbona wenye watoto hapo wanaisifia jamani!?afu suala la ada ni kuridhia kwa mzazi,warekebishwe tu huduma ziendelee
2026-10-31 06:13:18
1
officialmakene
officialmakene :
sema viongozi mnapenda sifa
2026-10-31 02:28:17
1
manu.tech_
manu.tech_ :
Hii shule iko wap nipeleke mtoto wangu mbona watoto wako happy tu
2026-10-30 07:50:49
0
user4265312935694
user4265312935694 :
laki sita sio nyingi kweli lakin usafi ni muhimu kwakuwa watoto wanalipa
2026-10-30 09:24:32
0
user6165215595693
Lutambijr :
kwan shule za serikali mlishawahi kuzikagua mkaona shida zilizoko kwenye hizo shule za serikali
2026-10-31 05:25:27
1
cmnenuka0
cmnenuka :
sasa shida ipo wapi? kwanini usikaenae kuongea naye mpaka tv?
2026-10-30 12:19:33
4
adeecom255
Adeecom :
kwani shule hiyo ni mpya je haijawahi faulisha kwa mwaka na matokeo yanakujaje?
2026-10-30 06:33:57
2
rahimudishon0053
Rahimu Dishon :
Kuna shule za Serikali ni chafu,ni mbaya yani hapatamaniki. vyoo vichafu,shule hazina miundombinu ya maji,madawati jau na vumbi nje ndani walimu wenyewe hakuna....
2026-10-30 10:47:57
3
nuruleonard972
Noor💞💝💖 :
mbn za serikali hamjaenda kagua kunambovu zaidi ya hiyo
2026-10-30 16:18:21
2
mwa36
Anna shalua :
kagua shule zote za mwanza
2026-10-30 07:14:28
1
dicksonmrema4
Barack jr :
hujuma za watu wanafiki tuuu
2026-10-30 03:58:03
2
To see more videos from user @global_trend_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About