@rama_aesthetic8: Ndizi nyama za vichogo wasiojua kupika 🤣 Ndizi za 5000 mshale laini Nyama kilo 1 Kitunguu 1 kikubwa Karoti 1 Hoho 1 Nazi mbili (hata za patki) Chini kijiko kimoja TUMIA SUFURIA ZA @brinaxtanzania İLİ NDIZI ZISIGANDIE CHINI 👌🏽 #ndizinyama #brinax #swahilifood #instafood #ramaaesthetic
Raha ya ndizi nzima ivy usiweke nazi supi inatoshaa🙌 wachaga we zang mnasemaj
2026-10-29 15:46:40
61
She’s vee :
Binafsa mchaga mm ndizi ukishatia nazi tu umenikosa Sory sio kwa nia mbaya nimesema tu
2026-10-29 14:46:21
49
elizabethjulius523 :
napenda ndizi nyama lakn siweki nazi
2026-10-29 15:45:51
15
verified🫣💯 :
Mume aje sasa nishajua kupika ndizi😆🤣
2026-10-29 16:20:01
3
passion :
huu mkono ni wako kweli mwenetu
2026-10-29 15:03:23
5
🌴Ayshar🌸 :
next tupikie makande😂
2026-10-29 13:34:47
8
milleytee :
Mafuta umeeka sa ngapi
2026-10-29 17:40:08
0
nono :
mafuta sijaona mchagga jmn
2026-10-29 15:15:36
4
queen zedy :
wanaume wanatuzalilisha wanawakee 🤣🤣🤣🙌
2026-10-29 14:25:23
7
jenipher :
ukishaweka nazi baaaaaasi sio ndiz tena
2026-10-29 17:12:42
2
Ernie :
I don't tp sound weird but huwa nakula ndizi roast n ndiz z kuiva 😂😂
2026-10-29 14:48:49
1
mazaga :
mna msikia mume wenu lakini😳😂
2026-10-29 16:00:01
2
Eliana Nana :
cku nyingine ukipika ndiz usiweke supu au maji mengi inatakiwa iive na maji kdg
2026-10-29 15:57:01
1
samirous :
nzuri mashaallah ila nyanya hutii??
2026-10-29 14:02:58
3
sylivia da ney :
ili ndiz iwe tamu pikia kwenye mkaaa au Kuni alaf naz usiwekee au nakoseaa jmn
2026-10-29 16:06:25
1
Nasra Msangi :
actual kwa sie wacha Ata atuwekagi mananiz na zinakua tamu balaa NI supu tuu ya nyama na zinakua tamu balaa ukikutana na mama mchanga anaweka na mafuta Yan ngombe aah bhn ww🤣
2026-10-29 15:49:18
1
zay ❤️❤️❤️ :
ndizi kama haujachemsha zikatoka utovu sizipendi
2026-10-29 15:58:11
1
Riri :
2026-10-29 14:18:23
2
Lissa :
ndizi gani hii rama
2026-10-29 13:36:40
0
Love🌹 :
mimi napenda ma pilau weeeh tamu balaa🥰🥰👌👌
2026-10-29 14:08:32
2
Phier_sultan🎀 :
Awww🥰
2026-10-29 13:35:02
1
Rafya alkhambash💝 :
mbn nzima nzima jmn 😂😂😂
2026-10-29 15:12:55
1
Given🥰 :
mbn hujaweka mafuta
2026-10-29 15:00:13
1
To see more videos from user @rama_aesthetic8, please go to the Tikwm
homepage.