@hawaronaldo45: MCHUZI WA KUKU #creatorsearchinsights #foryou #fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp

hawaronaldo45
hawaronaldo45
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 13:46:13 GMT
146383
7284
319
119

Music

Download

Comments

bi.bushrah
_bushra :
kupika meo [Broken heart][Broken heart][Broken heart]
2026-10-30 08:31:11
0
tafyanmakeup
𝑻𝒂𝒇𝒚𝒂𝒏💛 :
Masha’Allah kama Ai kumbe da hawa😫❤️
2026-10-29 14:12:14
107
yaksasia
grace Charles❤️ :
kwel huo mchuzi so kwa maji hayo msinichambe jmn naumwa kichwa
2026-10-29 17:07:15
56
pamcruz2021
Muro JR :
kidogo niseme Leo hujaweka wimbo kumbe upo😁😁
2026-10-29 14:39:01
41
jpaulskl
userskl :
mmh hii ya leo hapana😁😁😁 big noo kuku wangu kbs maji jagi zima
2026-10-29 19:15:03
22
fatma.ameir44
Jumfat :
leo hujapika mwenzangu khaaa aibu naona mm😂😂
2026-10-30 10:01:18
19
user5625396947004
user5625396947004 :
Kwel huu mchuz
2026-10-29 14:24:26
15
jamaludinjr
JAMAL :
Leo hamna viungo complicated..hii hata mm naweza
2026-10-29 14:36:28
11
aniya8997
ANIYA ♉️🌸🌸🌸 :
Kasema mchuzi siyo rosti sasa mnashangaa tena 😂
2026-10-29 19:07:59
7
mamaynanah
mamy nanah cakes :
manamzodoaa mpishi wetu ila Kuna mda unamisi mchuzi mwepes jamani sio Kila siku marost huochuz unalaza balaa Kuna watu watanielwa tu marost Kuna mda yanachosha ndo mana Kuna mda tukula chukua chuku
2026-11-05 08:46:35
0
happygellah
Happy Gellah :
leo hapanaaa 😁
2026-10-30 20:33:41
3
rinash336
RiRiNash32 :
The wors part vile mchuzi ulimwagilia juu ya wali afadhali ungesav kwenye kibakuli ingekaa kama supu ya mchuzi labda wangeelewa..
2026-11-07 15:53:04
0
emmaidd87
M :
Aaaah Leo big NO
2026-11-06 15:56:31
0
mammis1touch
Mammi's Touch🥰 :
aah leo umeharibu bwana mie kolomelo sina😂😂
2026-11-03 19:13:59
0
sayy_vee2
say__queentee💫 :
Da Hawa tunaomba recipe ya Sambaro🥰🙈
2026-11-08 10:56:42
0
albahsan2007
احمد البحسن💫..🕊💦😜 :
kweli nimelewa
2026-11-08 11:52:27
0
tradingbotseller255
Professional IT & Trader (Jr) :
Nishakula kanzu hpa nasubiri nijue hiyo kuku mchuzi tunakula na nini?
2026-11-02 05:03:14
0
maiyakimbie
maiyakimbie :
s kasema anapika mchuzi mlitaka uweje
2026-11-04 16:00:29
0
mustamirah28
mustamirah love ❤️ :
😂😂nilitaka kushangaa leo tunapika kimya kimya km mazikoni au
2026-11-02 13:33:44
0
user34530183183161
🌹🌹 :
katika siku zote Leo huyu mchuzi umenikosha san mi ndo napenda Tena na ubwabwa 🥰
2026-10-31 10:32:39
3
fardhanajuma
fardhanajuma :
me nimeulewa dada waache tu hao, simple nzuri kwa famila mchuzinna wali mtamu ngoja ni note ni mchuzi jmn nasio roast
2026-11-02 15:57:36
2
amina.issa836
Amina Issa :
et hawa kati ya microwave na air fryer ninunue kipi mm
2026-10-31 07:37:14
1
swalehe.hajra
swalehe hajra :
kila kitu kinzur mamy achn na huyo anaekukosoa
2026-11-06 22:04:42
0
butterfly2021_
ayra_2021 :
ss huo ndy mchuzi 😋😋
2026-11-02 13:07:34
0
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About