ndio maana the story of the fallen angels doesn't make sense
2026-10-30 12:11:17
0
Z/A/N T/E/C/H/+ :
full video naipataje YouTube
2026-10-30 15:29:46
0
Jimmy Ngugi :
the fallen angels had feeling actually lust for the daughters of men
2026-10-30 02:27:24
0
TOZZY :
me mlokole jmn lkn mchungaj nishushe😂😅😁
2026-10-30 04:59:54
0
mooraj :
Sheikh is learning [Tears of joy]
2026-10-29 20:02:10
0
Ahlul Bayty :
Iyo debate is very very good
2026-10-30 06:57:33
2
othman :
hapo hakuna swali gumu ukweli upo kwenye dini ya kiislam tu
2026-10-29 19:22:55
65
SK BIG G :
Shetan hakua malaika aliiishi Pamoja na malaika
2026-10-29 17:41:22
21
Blessed one :
hilo swali ni gumu sana
2026-10-29 17:45:05
23
bukayo :
shetani hakuwa malaika bali alikuwa ni jinn, kabla ya wanaadamu kuumbwa, majin ndo walikuwa wanaishi duniani baada ya kukithirisha kufanya uasi na madhambi katika dunia,ndipo m/mungu akaamrisha malaika wakawaadhibu, na malaika walivyofika kupambna na majinn walimkuta shetan akiwa bado ni mtoto mdogo(wa kijinn) hivyo wakamchukua na kwenda nae. Alipokuwa akiishi na malaika alikuwa ni mtu anayefanya sana ibada kila sehemu aliyokuwa anakanyaga ilikuwa lazma asujudu mpka m/mungu akamuinua darja na kumfanya kuwa karibu sana na malaika. baada ya Adam kuumbwa na m/mungu kutoa amri kuwa wamsujudie Adam malaika wote walisujudu isipokuwa shetan (ibilis) ambaye alionesha kibri na kukataa kumsujudia Adam kwakuwa alimuona ni kiumbe dhalili aliyeumbwa kwa udongo hali ya kuwa yeye kaumbwa kwa moto.Ndipo m/mungu akamlaani
2026-10-29 18:44:42
20
fico.jr9 :
shida kwenye ukristo sio kwenye uislamu au mnaonaje
2026-10-30 05:22:48
10
Haji :
shetani sio malaika na Wala sio jini.shetani ni roho
2026-10-30 03:57:06
7
kjk mtt w masharubu :
uislamu ndio dini ya kweli
2026-10-30 11:53:26
5
muhjashirafar :
shetani hakuwa malaika, alikuwa ni jini na alikuwa ana matamanio kama alivyokuwa mwanadamu, malaika hawezi kuhasi
2026-10-29 17:46:48
7
Ben Carson :
ukitaka kujuwa sana kuhusu Imani utapotea Bora uamini isiwepo kuliko usiamini alafu iwepo[Pray][Pray]
2026-10-29 17:38:43
6
KULL9_09 :
kwahiyo kama shetani alikuwa malaika hii inamaanisha hawa malaika waliopo sasa wanaweza kuasi na kutaka madaraka?
2026-10-29 19:00:05
5
Mcchudaa :
Biblia inasema myajuayo ni yakwenu na watoto wenu msio yajua ni yangu
2026-10-29 17:03:10
6
B~$quare outfits :
mchungaji umesikiliza swali vizuri
2026-10-29 16:46:04
14
Ngahatilwa Frank :
chionda mtu mbadi nakukubali sana br😁😁😁
2026-10-29 18:27:33
7
Jovian josiah :
kwanza mnatakiwa mjuwe kwamb viumbe vyote vmeumbwa kwa mfano wa yule Alie viumba Yan mungu Sasa viumbe wote wanasifa za mungu kwa7b wameumbwankwa mfano wake kwaio km malaika wameumbwa wakiwa na sifa bas maana ake wanatamaa lkn wakitaman kisicho halal. Io n tamaa mbaya inshot n kwamb viumbe wote wameumbwa wakiwa na uwezo wa kuchaguwa nn afanye na kuumbwa viumbe vikiwa vikamilifu haimanish kwamba wameumbwa Kam robot ambayo utengenezwa kwa mfumo ila ss tunauwezo na uhuru wa kuchaguwa Ili tunapo kuwa tunafanya jambo yuliganye kwa moyo wetu sio kwa 7b tumepangiwa ivyo
2026-10-30 11:16:56
0
ShiRa :
SHETANI SIO MTU, SHETANI NI ROHO MBAYA INAYOINGIA KWA MWANADAM NA KUFANYA MATENDO MAOVU
2026-10-29 21:45:26
0
iddyksseif :
ni swali ambalo hakuna wa kujibu
2026-10-30 06:42:20
4
Official 2026 :
Kwa ninavyofahamu mimi shetani alikuwa jini ila alichukuliwa kipindi yupo mdogo na kulelewa katikati ya Malaika. kuna kundi la majini walikuwa waasi mungu akatuma kundi la Malaika kwenda kuwateketeza, katika hilo kundi akabakia jini anaeitwa shetani. akabadilika baada ya kuambiwa kuwa amsujudie adamu.
2026-10-30 07:32:06
1
mathayo :
na mimi naongezea swali, kama shetani aliweza kupata tamaa, kwanini hajatokea malaika mwingine akapapata tamaa kama ya shetani?
2026-10-30 15:02:56
0
(I am hebrew) :
malaika ana hisia ...so anaeza kuasi
2026-10-29 19:31:54
0
To see more videos from user @modernart225, please go to the Tikwm
homepage.