@samoltv_: Moja kati ya wapinzani wa Simba SC katika michuano ya CAF ni Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini na sio kinyonge wanajua kutandaza soka safi . Unamuona mnyama akiondoka na alama ngapi hapa ?? #samol_tv

Samol Tv_
Samol Tv_
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 14:13:05 GMT
37366
1006
36
24

Music

Download

Comments

michaelmagweiga31
Michael Magweiga :
simba 3,,Orlando 0
2026-11-25 05:02:28
0
official.maulid5
official maulid@#₩¥$@ :
mbona wakawaida xana kwan lazima ujue apo anacheza na nan uyo sio simba
2026-10-30 09:45:24
3
mthokozi.p..gamul
Mthokozi P. Gamula :
Ay bafana khohlwa 💯
2026-11-04 05:32:55
2
hillary_0025
hillary_0025 :
Defense ndo inanipa wasi wasi, kunawakati keeper anasogea Sana hawa jamaa wazuri kwenye kushoot, pia mabeki wawemakini kuondoa hatari
2026-11-28 06:11:00
0
user3575271293843
~JEREMY :
kama yanga ivi
2026-10-30 06:51:13
2
ally.katili
Ally katili :
apo kwanza nichek tufanye hv tarehe 29 zinakutana team nzur
2026-11-27 12:34:35
0
joneskamugisha
#baba myrla :
simba hii unafkir ndio ile
2026-10-30 14:40:31
1
omarymsangi608
Young Mantis King :
Vitu Hivi Hata Mwananchi Alipigiwa Hivi Hivi Pia Kawaida Iyo Yupo Vizuri Pirates Tunakubali
2026-11-27 11:10:42
0
sallydeeshanny
sally🔥🔥 :
iyo lini iyoo iyo tarh 29 iyoo😂😂
2026-11-22 14:00:45
0
craig_arc
Craig :
2026-11-26 18:32:34
0
frankmakene4
frankmakene132 :
hap wanacheza na geita walochagamka
2026-11-26 09:09:18
0
rojalee2
Rojalee :
izo hata simba anazijua
2026-11-25 06:16:24
0
yosiahellman545
last born :
ukizingatia hata kipa hatuna
2026-11-24 15:11:36
0
snakesavage1
Snake savage🐍 :
Mamae wanasema wana waweza
2026-10-30 09:02:04
1
frankmwashiuya475
Frankiepaul :
simba coming soon to destroy you pirates
2026-11-06 13:31:20
0
loading9765
Loading :
watashinda kama walivoifunga geita gold musiogope
2026-10-29 18:20:49
0
samson.lucas48
Samson Lucas :
siku azigandi tutakutanatu
2026-11-06 05:29:23
0
mulu.liganga
Mulu Liganga :
awoo nomaaa
2026-11-01 10:14:48
0
ezekielfurniturepoint
EZEKIEL_FURNITURE_POINT :
sijui sisi simba tuna toboaje
2026-10-29 20:49:26
0
user2271291015207
Simion nyolob :
wasi2tixhe hata wo wenyew wana20gapa cc
2026-10-30 08:29:55
0
fashion_babually
Fashion_Babually :
Dakika zitaongea acha maneno
2026-10-30 09:57:28
0
cakes_tee
Cakes_tee :
2026-11-29 00:46:30
0
paulkavia
Paul Kavia :
bass tumekutana
2026-10-30 19:29:31
0
officia2391
dizzo_ kids ☘️ :
0
2026-10-30 18:23:36
0
abubakarhaji5392
barnaba boy :
mhmhmh simba wameumaliza mwendo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 19:25:17
0
To see more videos from user @samoltv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About