@massoudkhaifan: Wakati mwingine moyo huchoka kwa maumivu ambayo hatuyaelezi kwa mtu yeyote. Tunachohitaji si maneno matamu pekee, bali upendo wenye heshima, kujaliwa kwa dhati na juhudi zinazoonekana kwa vitendo. Jifunze kumkabidhi Allah maumivu yako, kwa sababu Yeye anajua yale unayoyaficha ndani ya moyo wako. Usipoteze amani yako kwa kushikilia jambo ambalo huna uwezo wa kulibadilisha. Allah atupe moyo wa subira, atulize nyoyo zetu na atujaalie yaliyo na kheri kwetu, hata pale yanapotofautiana na matamanio yetu. Aamiin Ya Rabbal-‘Aalamiin. #jumaamubarak #foryoupage #foryou #viral