Leo riba imeenea Kila mahali, yaa RABBI tuongoze katika kutenda mema na kujiepushe na madhambi😭🤲
2026-10-29 18:01:57
46
userBabykila🥰 :
Ko wafanya biashara anavyoenda kununua vitu na akaja kuuza bei tofauti nayo ni riba
2026-10-30 10:42:16
6
🎀💞cute_savage_lushy💞🎀._.💋 :
nini ribba
2026-10-31 18:45:53
0
raya :
Allah atufanye wepes kwenye utaftaj wet na Atujaliye mwisho mwema Amiin
2026-10-30 04:29:22
34
Madam Aisha 🇹🇿 :
Swali langu ni hili je ata sisi wanaonunua vocha kwenye simu afu mda wa kuirejesha huwa inabidi iongezeke je nayo ni riba? Nisaydien jamani
2026-10-30 05:20:30
11
Akhiyy muneer 👳 :
shekheeee Allah akuhifadhiiii
2026-10-29 14:42:59
9
salinge tz :
maashalah mungu akupe afya uendelee kupigania dini
2026-10-29 14:49:37
5
Raudasmart :
fungua tu download please
2026-10-30 12:27:28
2
jumashabani201 :
Allahu Akbar Allah tujalie ridhik za halal
2026-10-30 14:56:42
7
mtanda :
subhana llah namuomba Allah atusamehe naazid kutuongoza🤲 , shekhe wetu shukran barakallahu fikum namuomba Allah azidi kukuhifadhi kipenzi chetu🤲
2026-10-31 19:44:14
1
zakia :
Mwenyezi MUNGU anisamehe nlikuwa nikitoa pesa alaf zinarudi kwa riba lakn nlivyojua tuu kuwa ni haram basi niliacha mara moja😭😭😭🤲🤲🤲🤲
2026-11-01 05:59:26
1
Olive :
Ya Hadi ihdina SIRATAL Mustaqim
Wa Jazaka-Llahu kheyran kathiran Sheikh wetu
2026-10-29 19:44:55
5
dottomfa :
ni samehe ya allah nisamehe Mola wangu
2026-11-01 04:12:35
1
Ufatty Ahmed Mbaraqa :
:Ya Allah tusameh na utujaalie mwisho mwema mola Wang🤲
2026-10-30 09:54:47
4
Nejme sule🌸 :
Allah wasemehe wote walionichafua heshima yangu wasamehe wangesikia haya wasingenitendea kwa utukufu wa jina lako🤲🙏
2026-10-30 17:13:54
3
Bi warda :
SUBHANALLAH ALLAHU AKBAR MUNGU TUONGOZE SISI NA VIZAZI VYETU YARABI
2026-10-30 15:03:03
2
Merry Sirango :
Allanh
2026-10-30 17:51:53
1
💞 🦋shamim🦋💞 :
SubhanaAllah,..Rabbyghufirly
2026-10-30 14:04:31
2
mishyarya :
SUBHANNALLAH😭
2026-10-29 18:00:58
4
Safina :
Astaghafirullah
2026-10-30 14:23:06
1
Samragirl :
subhanallah
2026-10-30 15:16:02
1
Hamoud Kamugishagemail comtz :
unamaanisha kukopa vocha kwenye sim kama ni hivyo ndani yake kuna riba maana ukiwa unarejesha unalejesha zaid yakile ulicho kikopa kama umezoeya kukopa kwenye cm acha mara moja allah atusamekhe ambao tulikua hatujui kua hiyo nayo ni moja ya riba aamiyna
2026-10-31 12:36:04
1
zulesh🦋 :
Allah akulinde uendelee kutupa elimu ya dini insha Allah🙏🙏
2026-10-30 04:33:36
3
user15454168118420602 :
allah tup mwisho mwem🥰🥰🥰
2026-10-29 18:53:52
3
To see more videos from user @sheikhnurdeenkishk, please go to the Tikwm
homepage.