@cawabemedia_: Kijana Kefasi Mtega, mwenye umri wa miaka 30, anayetuhumiwa kuhusika na wizi wa miundombinu ya umeme katika eneo la Iganjo hadi Sumbawanga, ameomba viongozi wanaomhoji watumie lugha ya Kiingereza pekee au wamtafutie mkalimani. Mtega ameeleza kuwa Kiingereza ndicho lugha pekee anayoielewa, hivyo anahitaji mawasiliano yafanyike kwa lugha hiyo ili aweze kuelewa maswali anayoelekezwa na kujibu kwa usahihi. Tukio hilo limeibua hali ya kushangaza kuhusu mawasiliano kati ya mtuhumiwa na viongozi wanaoshughulikia suala lake.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 15:00:26 GMT
275165
13000
1079
5519

Music

Download

Comments

samayrah002
samayrah ⭐️💞 :
oooh my gwaaaaadi kiongozi meyo
2026-10-29 20:17:04
0
mancobra143
ManCobra :
Ila hii nchi itakuwa ya mr been
2026-10-29 15:36:58
826
datty382
datty🌸🌺 :
Leo ndo nimeona mwizi anaedekezwa
2026-10-29 17:14:28
372
its_irene_mabe3
i'ts_irene_mabe :
muna uhakika hii inchi sio used😂😂
2026-10-29 16:13:04
456
torenza_67
Hãñsi_😎 :
ila waizi wa sikuizi wanatak kuhojiwa kingereza
2026-10-29 16:12:06
286
bbrown_tz
b browntz :
inchi yetu used from england hii 😂😂
2026-10-29 18:06:52
0
zaylee6266
zaylee🦋🌹 :
😂😂😂😂Unasema nin
2026-10-29 15:52:37
264
kescotz1
BM🍷 :
hiii ni new sound in town🤣🤣
2026-10-29 19:36:11
0
patricias384
patrisha :
anataka tusielewe huyu alichokifanya
2026-10-29 15:51:56
137
lopuyopaulo
Lopuyo Paulo 潘出窯 :
Sharp boy 😂
2026-10-29 20:15:39
0
ibradesigner1
Designer 👑 :
Yani mwizi harafu anatupangia 😂😂
2026-10-29 16:37:41
102
heisweswe
heisweswe :
nilikua naomba mnufanyie interpretation [Snicker][Tears of joy]
2026-10-29 17:04:13
1
mj.yune4
Mj yune🌸 :
Usiseme kila kitu umeona
2026-10-29 15:09:32
109
sharji32
𝕽𝕬𝕴𝕯𝕰𝕽🏴‍☠️ :
yes sir im lasting😂😂😂
2026-10-29 19:25:25
0
hil_teo
hilda 😁 :
Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
2026-10-29 15:56:44
38
lisa.msafiri6
charming lady :
kwenye hii kaz yetu tunaongea kingereza
2026-10-29 19:43:00
10
jojowww790
jojo🌟🌌 :
et kwenye hii kazi hua tunaongea kingreza tu 😂😂😂😂😂
2026-10-29 17:49:34
14
batuli7702
batuly :
tangu nizaliwe naona mwizi anae ndekezwa ivyo
2026-10-29 17:50:54
12
steven_neema
Neema_steven. :
Nakuskiliza kiongozi, the audacity 🤣🤣🤣
2026-10-29 15:57:24
188
mosesdm3
Engineer by Nature :
Maisha ya mtanzania yamezungukwa na burudani kila kona[Tears of joy]
2026-10-29 17:20:11
5
happykado245
Happy Kado :
mwizi anapenda kujiamulia mambo
2026-10-29 16:44:38
11
users72004360177
miss kamamaa🥰 :
sometimes naongea kingreza kiongozi ......intaprication... I'm lasting
2026-10-29 15:59:26
108
de..zox
De.. zox 👑 :
am lasting🤣🤣🤣 ila nchi yetu baaasi 🙌🙌
2026-10-29 16:23:45
5
polymatic7
InMyFyp♾️ :
wakenya wasione hii [Tears of joy]
2026-10-29 16:05:33
29
winefridalulu
winie lulu :
[Tears of joy][Tears of joy] hii nchi imetoboka mahali
2026-10-29 16:23:04
10
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About