@tumainilaleo1: Katika nchi ya Kanaani... ndani ya nyumba ya Isaka... familia moja ilikuwa karibu kukabiliana na siri ambayo ingebadilisha hatima ya ndugu wawili.

Tumaini la Leo
Tumaini la Leo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 15:15:58 GMT
557277
55857
873
4548

Music

Download

Comments

kennedysangali3
kennedysangali :
hivi Ndo vitu vya kuweka mitandaoni
2026-10-29 21:03:22
215
user1001994632060
vickram 🔥♥️♥️♥️💯💯 :
next episode full
2026-11-29 20:21:34
0
wandemakapera2
wandema :
Plz next
2026-11-29 21:12:28
0
zedd1990
Zia bella😍 :
Kumbe hii tabia ya wamama kua na mtoto mpendwa kuliko wengine ilianza kitambo
2026-10-30 00:07:09
83
dullyallen
Dullyallen :
Hapa napo tulichezwa bana yan baraka ya mtu ichukuliwe na mtu mwingine aisee
2026-10-30 01:11:36
8
user8720668016503
mtulumpu :
rabeka ni mke wa yakobo alie muoa kwa mjomba wake baada kuchunga
2026-11-19 10:18:40
7
da.joycee
Black paka :
mbona mama ana upendeleo kwani essau alikua mtoto wa mke mwenzie
2026-11-24 11:23:25
5
queenmary0610
juwakari :
jmn m nauliza t kwnn yakobo alidanganyaaaa na Bado alibarikiwa na mungu?
2026-10-30 01:14:56
27
anitha.nyamwiza
anitha nyamwiza :
Kumbe wivu na chuki vianza zamani
2026-10-30 18:18:59
11
rose.masaka
Rose Masaka :
sauti mbili zinachanganya tuwekee moja tuu eidha wao waongee au wewe
2026-11-04 04:14:14
7
bibi.fuley
Bibi fuley :
Hadithi nzuri ila mtafsiri hatoi nafasi tuwasikilize wahusika
2026-10-29 20:12:23
28
moki.isika
Moki Isika :
Jacob do wasirael na Esau naye do warambu
2026-11-19 12:29:05
4
user149730012
Double E Liquid :
Inapatikana kitabu gani kwenye bible
2026-10-30 06:06:15
6
user8000354752839
Claudine katondo :
na mimi natamani baraka kutoka kwa baba mungu
2026-10-29 19:26:56
48
salmaramadhan64
SWEETHEART KIDOT❤️ :
Sasa ww unaongea na wao wanaongea jitahidi sauti zipishane ili tusikie kimoja
2026-10-30 07:48:40
15
daud04815
daud :
ila wanawake
2026-10-29 19:32:36
6
herv213
herv.@6 :
amen
2026-10-29 18:21:40
7
albertinesifa07gma
2026-10-30 06:30:22
5
helenasaidi938
Helena Saidi :
Sasa siuache kutafsli tusikie jamani sisi wamama jamani mungu atupe hekima ya kupenda watoto wetu wote kwausawa
2026-10-29 21:39:50
11
nzitu.mpanda
Nzitu Mpanda :
Kumbe ndio maana tunaambiwa tuwaombee sana wazaliwa wa kwanza
2026-10-30 15:29:40
7
mama.mapacha.pro.m
Mama pacha OG :
kwahiyo Mungu kweli ndo aliruhusu hivo justice for Esau
2026-10-30 12:46:26
7
user8442250542234
user8442250542234 :
amen amen ame🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
2026-10-29 19:37:58
6
user8555302404440
user8555302404440 :
kwahio Baraka hizi, ni mapenzi ya baba mzazi, au mwumbaji
2026-10-30 07:32:31
5
user4149905534760
user4149905534760 :
amina mtumishi wa Bwana Mungu aliye hai [Pray]
2026-10-30 06:12:11
5
senge.kahindo
Senge Kahindo :
sababu kubwa njo ile iliachaka isaka alipenda kumubariki muzaliwa wakwanza
2026-10-30 05:35:26
5
To see more videos from user @tumainilaleo1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About