@mbinguhapahapa: UNACHOKIPATA NJE YA UHALALI, HUWA HAKINA MATOKEO @Mwl Onesmo Prosperity #mbinguduniani #mwlonesmo #fypシ゚viral #fyp #viral

MbinguHapaHapa
MbinguHapaHapa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 15:18:59 GMT
87493
8844
136
260

Music

Download

Comments

wity471
wity :
mbona kama uyu kamuona bibi yangu kbsa😂😂
2026-10-29 16:35:05
49
clarachriss4
clarachriss4 :
nyieee huyu baba
2026-10-29 16:28:34
17
sadira.laizer3
sadira laizer :
kabs mwalimu mungu akulinde tupe ndoto za kutupalisha tuishi maisha ya mbingu hapa duniiia 🥰🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
2026-10-29 15:35:54
10
kisoly
kisoly :
Mwalimu Onesmo utasema pacha wake na mchungaji Kimaro kabissa maana mchungaji kimaro mnaweza mkachekaaa mpakaa baass
2026-10-29 20:53:55
13
ndekusara.ngaya
Ndekusara Ngaya :
Mafundishoya kweli bila malipo ila nimecheka[Laugh approved] diuu
2026-10-29 20:24:04
12
nemy11792
Nemy..🌸🥀 :
mm nikiwa kwa mamdogo wangu [Tears of joy]
2026-10-29 18:53:58
4
naishiyelaizer6
Naishiye laizer :
ila huyu baba MUNGU akupe maisha marefu sana
2026-11-03 20:18:41
1
gracekessy3
gracekessy3 :
natamani haya mafundisho yawe kwenye flash tuwe tunasikiliza muda wte jmn
2026-10-30 04:03:08
5
remmy.loy
Remmy Loy :
wee baba unajua bana mungu azidi kukuweka tujifunze
2026-10-31 17:54:35
1
user257415564
Dogo tz🗯🗯 :
kwel babaaa😂😂
2026-11-03 04:59:49
2
user525511204442
Clever one :
tulikuwa tukipeleka maziwa watu wanataka ya kwetu tu namna yalivyokuwa mazito 😊 marufuku kutia maji
2026-10-29 18:22:37
7
user35207483986512
pastorJ7🥀🎤👆🌹 :
Ni balaa😆😆😅🤣
2026-11-03 11:42:45
1
getrud.msalika
Getrud Msalika :
kweli😂😂😂😂😅
2026-10-29 19:57:15
2
ellykileo255
sweet melody ❣️❣️ :
yaaan we baba
2026-11-03 23:58:25
1
userpink_babe3
pinky :
Sina lakusema juu Yako ila Mungu azidi kukuongezea maarifa zaidi ya hayo uliyonayo❤️
2026-11-02 20:25:32
2
divahdaud87
divah :
Mungu ashnisamehe kipindi nipo mdogo nilifanya sana hiyo kitu
2026-10-31 04:41:38
1
momo_makope
Momo.makope kope :
2026-10-31 04:16:01
1
user1533008070676
Nancy :
kweli
2026-10-30 17:29:16
1
kelvinngulu285
kelvin :
Mungu tusamehe maana tumefanya hayo sana
2026-11-01 20:14:01
2
lis03803
@lis :
Huku kanisani hauta sinzia ni mwendo wa kucheka tuu😁😁😁😁
2026-11-03 07:36:54
2
ellypallangyo860
Elly Pallangyo :
hakika ni kweli
2026-10-29 20:22:47
3
janniephili
Jenni :
nikwer kabisaaa
2026-10-31 14:04:49
0
labaniakyoolabani
Labani Akyoo, :
barikiwa mtumishi, unafundisha watu vizuri, waache kutupa hasara
2026-10-29 18:15:16
2
utelewakiung
aizack rokisit mwaza :
😁😂
2026-10-29 17:02:21
3
immanuelimma17
Immanuel Imma :
aminaa
2026-10-29 20:28:01
2
To see more videos from user @mbinguhapahapa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About