be strong you get new love god is on you write sorry mom😭😭
2026-10-29 19:50:49
0
😊Kibeuty💫❤️🩹 :
Kwaio mwanetu ukamsave n my husband 🥺
2026-10-29 19:31:45
0
Asnath Joseph :
ukiachwa usilie ww cheza mziki tu
2026-10-29 18:02:32
41
soph_🥰 :
inauma niece niulizeni mimi
2026-10-29 19:23:00
0
@KITE_Official🤝✨💥 :
Daaah pole snaaa
2026-10-29 19:21:26
0
KUL!X#£B@ :
pole usiwaze san
2026-10-29 18:22:31
0
costansia :
kumbe bdo kuna watu wanalilia mapenz mpaka saiz
2026-10-29 19:48:01
8
Aisha Juma malolela :
kwa tuliopitia hiki tunajua huyu dada anachopitia
2026-10-29 18:02:15
8
🦋 KIM RAY🌺 :
Sophia usilie sana mamy huwez jua Allah amekuepusha na nn kwake kher wew amekwambia kama anaenda kuoa sikuambiwa kitu nilikuta post WhatsApp ya kuwashukuru walio udhulia harus yak💔🥹
2026-10-29 17:58:59
14
🦋💐Cut3 F@@h 🦋💘 :
😅😅😅😅😂😂usilie bhn we focus na mamb yko utampat naww sahhi kwako uyo alikuwa Ana lengoo la kukuchezea tu
2026-10-29 17:34:23
20
💗꧁༺ Rujainah Mommy ༻꧂💗 :
kama ijawai kukutokea uwezi elewa ata nusu yake 🥺🥺
2026-10-29 21:15:58
2
saisha Beauty :
Wanaume ni changamoto sitamani ata kuolewa wala kuwa na mpenzi si bola niishi mwenyewe nipambanie maisha yangu kuliko kuzewa
2026-10-29 21:04:05
3
Queen bee :
hivi kweli mtu anaweza kukuambia hivi au ni content tyu
2026-10-29 19:03:05
3
memo🔐 :
Jamn guys isikie kwa mwingine ila isikukute mie mwenye nshawai fanyiwa hivo mpk leo naogopa wanaume make anakupiga tukio tena ndo mnaelekea kufikia malengo yenu dah
2026-10-29 17:32:26
7
It's Martha ❤️🩹🔥 :
Ni kweli una maumivu pole ila kasikilize nyimbo ya ABWENE MWASONGWE,NIMEACHILIA my dear utakaa sawa tu
2026-10-29 20:48:07
3
Zao Class TZ :
erewa Ivo 🫵
2026-10-29 16:32:04
1
Mrs Beka🦋🌹🦋 :
hii ya leo ten au ndo zile zile best😂😂😂😂
2026-10-29 15:26:39
1
🦋🦋jay liker🍀🍀 :
Pole kpnz
2026-10-29 19:19:05
1
Swaum 💞 :
pole sana kipenz ndo walivyo
2026-10-29 18:43:36
0
♛𝕄𝕆ℕ𝕋𝔸ℕ𝔸 𝔸ℂ𝕆𝕌𝕊𝕋𝕀ℂ♛ :
😁😁😁😁😁 lengo langu limekwenda kutumia leo na mimi jana uliniachanisha nipo single
2026-10-29 16:52:10
4
Official_dijjah🌸 :
Sawa mama nitakuja msibani nitumie rocation😂😂
2026-10-29 18:24:06
0
Judith kilimosi :
Pole kipenziiii
2026-10-29 17:59:09
2
Sabrina qatoto :
Poole mwaya inauma kwel
2026-10-29 17:58:34
2
key boy :
Pole Daa uwez elewa uyu dada anapitia Maumivu gan kam ujawah pitia inauma Kwa kwelii utapata mwengine
2026-10-29 15:38:16
1
To see more videos from user @sophiaoutift, please go to the Tikwm
homepage.