@alfatah.tv: Kwa taufiki na msaada wa Mwenyezi Mungu, na kupitia michango yenu iliyotolewa kwa moyo wa upendo, Alfatah Charitable Association tunapenda kuwashukuru kwa dhati wote mlioguswa na kuchangia katika hili; hakika mchango wenu umetuwezesha kufika hatua kubwa sana ambapo tumefanikiwa kumnunulia mama huyu kiwanja na sasa tuko tayari kuanza hatua za ujenzi ili kumpatia yeye na mwanawe makazi ya kudumu. Mwenyezi Mungu awabariki, awazidishie riziki tele, na aweke nuru na baraka katika mali na familia zenu kwa kila msaada mlioutoa. Safari bado inaendelea, na bado tunahitaji ushirikiano wenu wa dhati katika hatua hii ya ujenzi ili mama huyu aweze kuingia kwenye nyumba yake na aondokane na hofu ya kuhamahama akiwa na mwanawe mgonjwa. #msaada #imani #alfatahcharitableassociation
Napenda dini yang ya uwislam kisi tunashikana kwamgogo
2026-10-29 17:14:38
13
Aisha Magesa :
allah awaxidishie
2026-10-29 17:47:58
0
Shumy :
Heee ndio umuuzie mwenzio milioni 10😳
2026-10-29 21:43:26
0
Tanzania🌹🫶💯 :
allaha alete heri musaidie na wengne [Heartwarming]
2026-10-29 17:11:11
2
on target :
ingekuwa Jambo zuri huyo mama mwenye kiwanja akatoa Kwa ajili WA Allah hapo hajapoteza
2026-10-29 20:13:52
2
فتيم🤍🦋 :
kwann serikali isitoe majengo special kwa watu wenye uhitaji mana watanunulia wangapi na ilihali wanaweza kujenga magorofa (apartments) special kwawenye uhitaji .msinichnbe just advice [Snicker]
2026-10-29 17:00:04
2
Ochu :
lakini kwele Muheshimiwa Muwakilishi alituambia kuwa Bi Fatuma amekuwa akikataa kuhama hapo,
2026-10-29 17:05:12
5
user5624100452297 :
kwakweli huyu aliepewa msaada huo namjua vizuri,ni maskini kweli ana utu tu lakini pesa hana,Allah awape zaidi waliotoa na kheir na barka ijae ktk kazi zao
2026-10-29 17:44:39
5
Chubby :
Maashaallab
2026-10-29 16:38:28
0
Kotwa :
mungu akuzidishieni muwe na moyo uwo uwo
2026-10-29 17:16:57
5
QALBIH 🕋🕋🇹🇿 :
mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah 🥰 Allah Akbar Allah Akbar Allah