@musa.omary.mc.bil: ๐ฌ๐ฅ FATILIA TAMTHILIA KALI YA HALI YA JUU KUTOKA KWA MSANII WETU WA BONGO MOVIES! ๐ฅ๐ฌ @Sahili Mahili na @Mahili Sahili wamekuja na BONGE LA MOVIE linaloitwa WALIMWENGU โ movie yenye ujumbe mzito, inayokuelimisha na kukufundisha maana halisi ya kuishi na walimwengu. ๐๐ญ Kama umeipenda movie hii, usiishie kuitazama tu! โค๏ธ Twende tukamsupport kijana mwenzetu kwa nguvu zote kwa ku-SUBSCRIBE kwenye akaunti zake za YouTube. ๐๐ฅ Kwenye akaunti zake utakutana na movies kemkem zinazobamba kwenye soko la ushindani, zikiwemo: ๐ฅ NYOTA NJEMA ๐ฅ LAMINATION ๐ฅ MWENDO KASI ๐ฅ Na nyingine nyingi zaidi... Hii ni nafasi yetu kumpa moyo msanii wetu ili aendelee kutuletea kazi bora na kutuelimisha kupitia sanaa yake. ๐ช๐ฌโค๏ธ ๐ Nenda YouTube, tafuta @Sahili Mahili / @Mahili Sahili, SUBSCRIBE na usisahau kuwasha ๐ notification. Na msinisahau na mimi ๐โค๏ธ NIFOLLOW kwenye akaunti yangu ili niweze kuwaletea UDAMBWI-UDAMBWI wa movies zijazo na kuwajulisha movie kali zinapotoka. ๐ฅ๐ฌ ๐ TUUNGANE KUMPIGIA MAKOFI KIJANA MWENZETU! SUBSCRIBE KWA NGUVU ZOTE ๐ช๐ฅ ๐ฌ๐ฟ WALIMWENGU โ EP17 #WalimwenguEP 17 #SahiliMahili #MahiliSahili #BongoMovies #SwahiliMovies