@mrshadracktz: #creatorsearchinsights 😳🐕 “MBWA NI NYAMA, KWA NINI MNAISHANGAA?” 🔥 Dada huyu ameshika kichwa cha mbwa akiwa machinjioni na kuthibitisha kuwa kweli mbwa huchinjwa na kuliwa katika eneo hilo. Anasema kwake yeye mbwa ni nyama kama nyama nyingine, hivyo anashangaa kuona watu wakistaajabu! 😳 🤔 SWALI NI: JE, WEWE UNAIONAJE HOJA YAKE? Tupe maoni yako kwenye comment bila matusi wala kushambuliana! 👇🔥 #BabaHapumziki #Iringa #Viral #FYP

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:01:18 GMT
101670
3335
466
1021

Music

Download

Comments

mr__yussuf
A_f_r_i_c_a_n_b_o_y :
at nini
2026-10-29 20:00:53
0
mrnobody12i
Mr nobody :
justice for bosco😩😩🙌
2026-10-29 20:33:22
0
noelwilliam695
Noeli :
🙆🙆 Eeeeee ashindwee
2026-10-29 20:04:44
0
fresh_scents_dodoma
fresh_scents_dodoma :
Adi supu ….
2026-10-29 20:08:04
0
danstan.daniel0
Danstan Daniel :
YAANI WANAKULA ASKARI?
2026-10-29 17:44:08
107
joe311615
￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴￴ ￴ ￴ ￴ ￴ :
Hali ni mbayaaa
2026-10-29 19:22:31
27
given.mwalongo.ni
Given 🇹🇿 🇹🇿 5 7 :
niwap huko ili nisije kabisa
2026-10-29 17:49:21
64
roselah34
roselah🇹🇿 :
😂sigerman shepherd ilo
2026-10-29 19:58:53
5
raphinha_jm7
Raphael January :
maskini BOSCO 🥺🥺
2026-10-29 19:33:03
12
africasana2
Africa sana :
ach kupost ivo vitu bro
2026-10-29 18:19:23
17
othan.dem4
Y011 :
Mama Samia tunatekea huku jmani
2026-10-29 18:55:56
12
masau43
Dr Masau :
kati ya mikoa ambao siwez kula ata bisuti ni iringa
2026-10-29 18:36:08
16
peter.jeremia3
Prince peter👀 🇹🇿 🇹🇿 :
ni mkoa gani nisipite ata kwa bahati mbay😳😳😳 jaman
2026-10-29 18:34:00
17
officialgadaffi6
VANDROS :
mhhhh wedadaaaaaa
2026-10-29 16:56:42
10
hadija.haji317
Hadija Haji :
maski mbwa wa watu jaman 🥲🥲🥲🥲
2026-10-29 18:44:14
11
issahozza682
Double I🔥🔥 :
Dada mikoani unatuma?? Nataka utitumie iyo supu ili nisiipokee
2026-10-29 18:26:43
11
elias.andrew7
Elias Andrew :
Ngoja kwanza,ndugu mwandishi unatutaka nn watu wa Iringa
2026-10-29 16:48:06
10
thus_me
cürry_bee :
mbwa wangu kasema ni Ai
2026-10-29 19:43:24
5
rehema.charles35
💥💥""Queen 👑👑 Rey""💥💥 :
😁😁😁😁nyama yetu hyo wahehe naomba tujuane wahehe🤣🤣🤣🤣
2026-10-29 18:42:51
5
moreen4410
Moreen🥰 :
mungu ndo umenipa muhehe nizae nae Aya Asante
2026-10-29 18:13:25
5
bonifacelank
WalkerTz :
ndo maana sipendi romance kabisa😏😏😏😏
2026-10-29 20:33:13
1
kizmwg
Kizungu :
mbeya iyooo 🤔
2026-10-29 20:36:35
0
lidya2468
lidya :
me mwezenu ni mhehe kwakweli me huwa sinunui nyama ovyo kama sijaenda mwenyew bucha ya nyama ya ng'ombe hata kama nasafili nipo ladhi ninunue bagia na soda tu
2026-10-29 20:22:43
0
ummulkulsoom080
Ummu Ayman :
jmn jmn.mnatuchafua mnatudhalilisha heeeee
2026-10-29 19:41:20
3
mauga_og
tc_ibrah :
2026-10-29 18:48:54
2
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About