mim ndio maan uwa na sal kote kote ad kwa mganga sicha gui sibagui atake nizika simjui
2026-10-29 18:15:45
65
Nelson FreeSchool Bo :
sasa kama Yesu kafa kwa dhambi zetu kwanini tena nichomwe moto kisa sijaamini wakati tayari nikosa limemalizwa kwa kifo cha Yesu...
2026-10-29 17:51:21
30
@ananias.audax :
mungu hajadiliwi full stop
2026-10-29 19:00:28
7
Kalinjuma Elias :
Hama kweli ni siku za Mwisho
2026-10-29 17:45:26
5
Omar lomy :
mungu anajua ila anakupa mtihani ili mpate mfaulu
2026-10-29 19:05:09
4
user7866100437412 :
The bible says!Swali la msingi nani alitengeneza bible?How reliable is the bible if it had been modified thousands times?Is it the word of God or humans?
2026-10-29 16:57:32
11
dinn/katamilija@ :
dini imefanya watu waache kufikiri
2026-10-29 17:22:50
11
chamartn :
tunampenda mungu ila shida watu wanaotuongoza hawana maarifa akiri zao zina kariri binafs hawa jamaa nawaelewa japo nipo upande wa mungu
2026-10-29 18:49:17
7
Maisha magic east :
uyo ustadh mbona yupo kimya wakat uislam umeleza vzr sana kuhusu dini na uwepo wa Allah ?
2026-11-01 15:49:55
2
SebaStian :
Yesu alijua kabisa Yuda atamsaliti lakin hakumsanua na walikuwa wanatembea wote. Ukihoji sana utamkosea Mungu kuwa na imani
2026-10-29 17:52:40
8
Ben :
Hekima kuu ya KiMungu inadhihirika katika yeye kuacha viumbe wake wawe na free will, kusingekua na free will tungekua kama ma robot, maisha yasingekua na taste yoyote, kusingekua na upendo, furaha, amani, contentment, nk...Its so funny binadamu ambao hata dunia tu tunayoishi hatuifahamu kwa angalau tu 30% pamoja na advancement tunayoona tunayo, alafu binadamu hao hao tunajaribu ku question Divine wisdom kwa kujiamini kiasi hiki, ukiwafuatilia Great Thinkers wengi baada ya kipindi kirefu cha fikra kuhusu accuracy ya kuwepo ulimwengu huu tuliopo, wengi wao wanafikia hatua ya kuwa very keen kuhusu ku question uwepo wa Mungu, na Divine provisions zake
2026-10-29 20:32:09
2
MTENSA ladies outfit :
point ipo kwa pastor..jinsi hii Mungu alimtoa mwanae ili amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele
2026-10-29 18:52:42
3
Riah :
Kwaiyo mungu anayejua kila kitu alijua kabisa shetani atakachofanya 😂
2026-10-30 12:12:58
1
ley de xander :
mungu alitup sis akil zet ziwe huru kufanya maamuz yetu sis wenyew ili cku akij kutuhukum asiwe na lawam kwa kil kiumbe hakutup akil ya automatic ila alitup akil ya manual
2026-10-29 20:28:41
1
AMANI👹👹 19 :
Kwan alo andika bibilia ni nani
2026-10-30 06:39:30
0
sinyo :
amna kinacho niwazishaga kma eti alikuja kuwafutia zambi msalabani alafu zambi bado zipo uwiiiiiiii asa sizilisha futwa jmn napenda sana apa nilipo
2026-10-29 17:40:55
6
Mwerohkalistar :
kusema kweli hio conversation haitapata jawabu
2026-10-29 19:29:09
3
AMANI👹👹 19 :
Sema haya maswali magumu sana alo
2026-10-30 06:38:08
2
Abdul JR :
jawabu ni....katika viumbe woooote duniani na nmbinguni,mwenye akili ya kufikiria ni binadamu pekeake...mungu alimpa mwanadamu akili ili siku ya mwisho asipate sababu ya kujitetea...Kwa maana binadamu pekee anauwezo wa kufikiria lipi baya na lipi zuri....na dhamira kubwa ya kupewa akili ilikua ni ujiamulie mwenyewe km utafanya mazuri au mabaya
2026-10-30 06:33:03
1
jamesncheye :
Kuzim imetrngrnezwa na kanisa ili watu waogope full stop 🙏
2026-10-29 20:16:15
1
kenedy@ 0628465765 :
weweeeeeeeeeeeeeeh asanten tupeni ukweli uo
2026-10-29 18:57:53
3
motelaglasemu :
kipindi hiki nikizuli muandae vizuli
2026-10-29 17:51:20
4
David ramos :
minadamu wote moton kasolo mama yangu Tu
2026-10-30 10:39:48
1
kim nah :
bora muulize nyinyi
2026-10-29 17:51:10
3
Zerobudget Emcee :
hizi ndio mada ninazopenda,
2026-10-29 19:56:30
1
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm
homepage.