@mrshadracktz: #creatorsearchinsights 🔥🐕 PART 6: DADA WA KIHEHE AJITAMBA! “MIMI NI MHEHE, NA BADO NAKULA MBWA!” 😳 Katika mwendelezo wa ziara ya Baba Hapumziki kwenye machinjio ya mbwa, dada huyu anayehusika na shughuli hiyo amefunguka bila kificho! 😱 Anasema yeye ni Mhehe na bado anakula nyama ya mbwa, huku akisisitiza kuwa kwake yeye hakuna ubaya wowote katika jambo hilo. Lakini je, ni suala la utamaduni, mazoea au mtazamo binafsi? 🤔🔥 👇 WEWE UNA MAONI GANI KUHUSU ANACHOKISEMA DADA HUYU? Tupe maoni yako kwa heshima bila kudhalilishana! #BabaHapumziki #Kihehe #Iringa #FYP

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:08:29 GMT
78327
2124
313
794

Music

Download

Comments

To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About