ndacha made from God [Fire][Fire][Fire][Fire][Fire]Jesus king
2026-11-05 09:59:55
1
MOVIEBLIZ :
Uzuri wa ndacha Huwa anatulia sana 😂.
2026-10-29 21:01:09
60
SON@2026🫶🥀 :
im proud to be a christian😊
2026-10-29 19:30:24
50
Neycmicky Bonnie ✨️🌹❤️ :
YANI HUYU PASTOR NI KAMA AYUBU tu MUNGU ANAJIVUNIA YEYE SAANA🙌🫂🙌
2026-10-30 11:28:29
46
Msigwa255🇹🇿 :
kristo sio dini kwenye bible ila ni wafuasi wa kristo
2026-10-30 12:34:58
9
joka :
yesu kristo ndiyo njia ya kweli
2026-10-30 15:11:14
10
MATUI :
YESU NI MUNGU
2026-11-03 11:14:19
4
Esther Mignonne :
Ndacha Mngu Akutunze hao wote wamujue Yesu christo ndie njia ya Uzima wa milele
2026-11-04 13:43:40
3
ibrahimbomani :
swali aliloulizwa wapi yesu kasema jina lake ni dini...katoa andiko kuwa wafuasi wa kristo...kwani wafuasi wa lipumba..ni dini..? anawachanganya ajibu swali
2026-10-31 07:51:43
1
bahati çhibañda :
hii mashne ya mungu mungu anajvunia ww🫡🫡🫡
2026-10-30 05:32:22
20
乃F.MXOUTH🇿🇦🇿🇦 :
Kila mtu abaki na dini yake
2026-11-04 09:47:45
3
djmax :
huyu jamaa comebacks zake ni TKO
2026-10-30 12:05:39
5
Edeled :
yote kwa yote mtume gani alioa mtoto wa miaka sita? hiyo ndo impossible
2026-10-30 22:20:51
5
Agness Nkugwe :
Ndacha umejaa Nguvu za Roho Mtakatifu sana. Mungu akupe wingi wa miaka
2026-10-31 16:37:14
9
c.e Olivia :
Amina wa kristu tupendane djamani
2026-11-05 00:30:34
1
Aggiebaby :
jina la Yesu kristo ni jina ndilo tulilopewa
2026-11-01 23:24:38
3
dolaly :
Jesus king
2026-11-05 09:58:58
0
lastborn :
nasema kila siku elimu dunia ni muhimu sana katika maisha haya, hata katika midahalo hii pia, "ukristu ni jina" na jina ni nn??? JINA NI NENO LA KUTAMBULISHA kwahyo hata UISLAMU ni jina kwakuwa ni neno linalo tambulisha
2026-11-03 18:20:44
2
Brayooh :
Amen
2026-11-03 04:10:45
1
rozasemen :
Mimi ni wakristo kwahiyo naitwa mkiristo Yani MTU au mtoto wakristo
2026-10-31 13:02:19
3
user2007628007376 :
kristo ni mwanzilishi wa Imani ya ukristo ambayo imejenga dini ya ukristo na kristo ni mpakwa mafuta ya bwana
2026-10-31 11:36:06
2
smiling 😊 :
MUNG AKUBALIKI CHANDA KWA KUWA
2026-10-30 09:55:43
2
black ld :
mimi ninacho jua binadamu ndiyo mliechapisha vitabu uyo yesu uyo Allah mmemtoa wapi apo amna dini ya kweli hata moja siyo waislam siyo wakristo. nimemaliza
2026-11-03 05:01:18
1
Michael Ezekiel :
mungu akulide ndacha mille yote
2026-11-01 15:18:17
2
To see more videos from user @frederic_actus, please go to the Tikwm
homepage.