@doctor_glory: Hizi ndio tabia za mwanamke mjamzito.. #pregantwomen #pregnant🤰 #pregnantmama #pregnancyjourney

doctor_glory🩺
doctor_glory🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:12:58 GMT
52945
1806
72
430

Music

Download

Comments

ukhtynurat1
ukhty sherry ❤️ :
mm nyote nnanyo jmn uwiii kama kulia
2026-10-30 07:33:17
9
gracious.mfinanga4
Gracious mfinanga :
Nitangaze sasa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 17:46:16
1
ladytee528
Lady tee💦🌟🌺 :
Nyie juzi nimeenda kununua chips yai nikafungiwa chips kavu nafika nyumban ndo naona nimelia jmn km nimepigwa nimefika wanapouza chips nimelia yan mpk wamekoma nikienda sasahv wananiskiriza vzr
2026-10-30 11:31:07
1
ommy.brown.boy
Ommy Brown boy :
Mbona wazungu hawana hizo tabia
2026-10-30 10:23:13
1
nasmaabdallah12
nasmaabdallah12 :
Huyo ni mm kabisa😂😂😂😂😂
2026-10-30 12:09:40
0
chausiku851
It's🥀 Chanight❤ :
mmhm mbona kama mimi huyo😂
2026-10-30 10:36:36
0
ruhunicatz
lilly kilimanjaro :
nimetok kumzik mwanangu jana nimempoteza kwa uzembe wakutozingatiwa unajikut unapend mume wko lkn hkuzingatii hivo mawazo ynazid mpk unaanguk nakujifungua kbl ymuda
2026-10-30 14:31:23
0
asiaramadhan870
nono :
mimi nalia mume wangu anauliza unalia nini mimi nasema hamna tumbo linauma hapana ila nataka tu kulia
2026-10-30 11:13:30
2
user34546271597317
halima :
asant
2026-10-30 06:21:36
1
cathy23471
C.a.t.h.y🍎🦋🦋 :
me sitakii ata kufnya.tendoo la ndoa
2026-10-30 08:51:43
4
zuuu.babe3
zuuu babe :
ni Mimi uyo nilia bila sabab na kuzila
2026-10-30 06:09:11
0
babynanaah
♥️Mrs Hance pop🌹 :
ni Mimi kabisaaa Yan kitu kidog naliaa mbkaaa basii nanunaaa vipii
2026-10-30 06:27:39
0
happy.dee43
HappyDee🇹🇿❤️陈先生🇨🇳 :
Ni mimi huyo dak 1 nacheka dak3 nanuna Afu mimi huyu nalia bila sababu yaan🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-10-29 19:27:31
4
mosi.siani
MOSI Siani :
kisiran jamn mung naomb unisaidie
2026-10-30 07:46:50
2
user1218813172142
BABY____D :
mimi hiyo sinaga kuchukia 🤣🤣🤣
2026-10-29 20:35:40
0
tayanamoussa
mayraMoussa :
Mimi napenda usafi jmn naweza amka usku kufua apa nmememalza kuosha makochi nkalale
2026-10-30 20:53:30
0
neema_jovin
Neema_jovin :
ngoja nifanye makusudi sasa
2026-10-30 16:09:42
0
habiy211
hobi💕 :
Ngoja nimtumie ba mtu atanielewa
2026-10-31 05:35:51
0
signoela
signoela :
mimi nalia ad Mme wangu anajihis ananitesa 😀😀😀
2026-10-30 13:57:36
0
giftijemsi
gifti :
Aya ni mm namupnda San sitakiata aendee jbu sema silala usiku jamn
2026-10-30 15:13:30
0
sweet_rayyane
Raiyan Rwambo :
umechelewa kusema nimetoka kulia bila sababu nimevimba mpka uso.😂😂😂
2026-10-31 13:13:55
0
shanaizercute1
♥️shanaizer cute♥️ :
jmn mimba yngu imenifanya nikaeka nywele zngu dai😭
2026-10-31 11:53:33
0
rimoratz
ummy nairah🥰 :
ungefungua video jamani nichukue hii video nisije nikaanza kulia jamani
2026-10-30 22:03:31
0
salrash.zenj
ima👌 :
jamn me nilikuw nachukia haruf ya madirisha lool
2026-10-30 16:09:12
0
queen.aggy2026
queen aggy2026 :
Tulia ndo tabla yangu
2026-10-30 07:41:04
0
To see more videos from user @doctor_glory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About