@dukahuru:

SHAMSI RAMADHANI
SHAMSI RAMADHANI
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:14:08 GMT
104324
4754
185
395

Music

Download

Comments

user6158465135827
urassag :
trueeee my mum was like that tena hakuwa anaingia nazo ndani
2026-10-30 11:24:41
0
carolover254
humble girl :
sijui ni mimi tu kila mwezi lazima nijinunue kitu Cha laki moja sababu ni mimi nateseka kutafuta hyo pesa
2026-10-29 16:39:05
127
richie15437
richie154 :
vip kuhusu nguo tunazogawiwa kwenye msiba..za marehemu
2026-10-29 19:11:43
21
urembo.heshima
UREMBO HESHIMA :
yani tutafuteni hela mana haya mashart ya dunia bila hela hamtoyaweza
2026-10-29 18:32:26
69
florence_roberl1
Florence Robert Kasege :
kumbe hisia zangu zilikuwa sahihi nguo niliyomzika baba yangu sitamani hata kuiona,ngoja niichome
2026-10-29 17:29:13
6
emmanuel.mwakibut
MCHAGA WA KINYAKYUSA🧢 :
mimi nikimuomba namba mwanamke njiani akaninyima izo nguo nazichoma moto😂😂
2026-10-29 19:34:16
17
user7247285829513
ZuuBrown :
Asante
2026-10-31 08:35:43
0
cylicheria.mugele
simmy :
mi najua kutoka jera lazima uzitupe
2026-10-29 18:26:26
12
ojgardenhaven
Oj GardenHaven :
umemsikia kidawa?? unipe hela sasa ninunue nguo mpya..
2026-10-29 16:21:06
8
tuti.mwanjisi
Tuti Mwanjisi :
nilipata ajali ya pikipiki nilivofika home nikachoma ile gauni 😀😀 Hisia zilinituma hivoo
2026-10-29 18:08:10
13
user9593470223381malaika
Angel shoo :
mimi Kuna nguo nilibiwa nikiwa nimeivaa alafu ilkuwa mpya mpya sijaichoma ila nilikataa kuivaa tena
2026-10-29 16:55:55
1
doreen56020
Doreen :
Je nguo za marehemu mama angu 😭
2026-10-30 07:29:13
3
proud1919955
Mankaloys🍂 :
mi sinaga kumbukumbu😅
2026-10-31 09:57:48
2
ridiabebwa
Ridia Bebwa :
mbona hii Dunia inamashati mengi sana
2026-10-31 14:40:21
1
nicestores1
nicestores1 :
Me every sunday church navaa nguo mpya watu wanajua na show off🌚 hawajui maombi yangu na napata majibu faster 🥹 God is good bana 🙏🙌
2026-10-30 08:34:17
4
debrahnoah2
D🥰 :
Nilipata ajali lile gauni naogopa kuvaa nyie[Big LOL]
2026-10-30 11:37:18
0
doris.mmari
Doris Mmari :
vp kuhusu kuchoma nguo ni sahihi ?
2026-10-30 16:04:25
2
vanta_023
Vanta :
2026-10-29 17:52:38
0
sallykeiy
SARAI :
haya tumesikia mkuu tupe na skincare routine yako kaka shamsi
2026-10-30 10:04:41
0
dorcas_monga
monga :
Somo nimeshaelewa,nieleweshe na skin care yako ndugu mimi na wewe ni watanzania 😂😂😂
2026-10-29 19:04:49
3
gracenasoni
Grace~vifaa vya keki~Dodoma🥰 :
Kumbe nina akili mingi kuna nguo nilizivaa kipindi ambacho niliumwaa sanaa nikaacha kuzivaa. Hata simu niliyokuwa naitumia kipindi napitia magumu niliachana nayo🥺🥺Na nikapata Amani😁Sio nguo tu hata vituu. Hii kitu ni kweliii kabisaa🤗🤗
2026-10-30 13:35:02
2
mama.mitumba.grad
mama mitumba grade aa :
In kweli kabisa. Me nikitoka msibani au hospital hua navulia nje kabisa😂 hadi zifuliwe kwanza. Na hua siwazi hivo Kama ni mbaya ila huwa sipendi tu
2026-10-30 10:09:26
3
tedykisenge199400
tedykisenge965 :
Yaan nitupe abaya langu la laki kisa energy energy whichi Kila silaha itakayo inuka juu yangu haita fanikiwa
2026-10-29 19:09:47
3
abigael.seleman
Abbie💕 :
kuna nguo nilitoka nazo kwa mume wangu hadi sasa ninazo ngoja nikazichome
2026-10-31 11:10:14
1
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About