@nombogazim: #barakanombo #creatorsearchinsights #fyppppppppppppppppppppppp #viralvideo #fyp

baraka nombo
baraka nombo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:16:35 GMT
81922
5434
316
251

Music

Download

Comments

fetybendera
fetty :
hata sisi tunataka yatima
2026-10-29 17:07:41
143
isher436
isher436 :
Hata sisi tunapenda yatima
2026-10-29 17:52:15
9
user00001976000
000198600 :
Yan mimi natafuta mwanaume yatima
2026-10-29 18:12:13
59
johnmgang
TETE :
Mimi nimeo mwanamke wazazi wakewote wame kufa ila anacho nifanyia sitopenda tena
2026-10-29 19:01:42
4
mama.stv
mama stv :
Mimi namtafuta Yesu.
2026-10-29 19:24:33
6
hawaa.hawaa9111
Hawaa :
[Crying][Crying][Crying] mbona wanionea bro
2026-10-29 21:37:32
0
user6711759709442
Agnes 🥰🥰 :
hata me mwanaume mwenye wazazi sitakii kabisa
2026-10-29 21:09:31
4
tusa.mwammale
2SA _BEUTY POINT :
Ni kama utani ila kweli mimi mkaka ambaye hana wazazi nikimpata nitakuwa nimepata mume 🥹
2026-10-29 17:56:23
12
lati.girl8
Lati girl :
We mungu nilindie wazazi wangu ata nisipoolewa it’s okay
2026-10-29 18:35:32
5
irenemagwizi
Irene Magwizi :
Ila TikTok 🤣🤣
2026-10-29 20:47:45
0
zuuabdi06
Half Girlfriend 🌹💫 :
sio kwa mama yangu jmn she is so amazing 😍
2026-10-29 16:37:48
10
dilankimaro
Dilan Dee :
Duu Ee Mwenyezi Mungu utunusuru imagine umeolewa na mume mwenye hii mentality -Yaan anataka uwe yatima na wala usiwe na Ndugu wanaojiweza kiuchumi
2026-10-29 18:49:49
7
radhia6685
Radhia :
Mimi sina baba wala mama na hata sina dada Mimi Ndio pekee wa kike😩
2026-10-29 20:09:50
0
sabrina.amani2
Sabrina Amani :
nipo apa mimi sina waziza yote
2026-10-29 21:14:05
0
sanga.mapochi.kar
Sanga mapochi kariakoo :
Tuoe yatima si ndio mwanetu😂
2026-10-29 20:34:35
0
halimaawadhdoto
Halima Awazi :
wafe wenukwanza
2026-10-29 19:21:28
0
queenice015
Queenice :
Na sisi huwa tuna taka kijana ambaye ni yatima alafu asiwe na dada wala kaka ili tukimloga asipate msaada 😁
2026-10-29 17:14:53
48
isackalphonce3
Isack Alphonce :
Exactly
2026-10-29 17:34:56
4
sharonsengel
chubby kisha🤍 :
Mama angu alimwambia babe dady wangu anauwezo wakunilisha mm na yy na watoto wetu wawili 😂😂😂😂 had Leo 6yrs nipo home Kua na mama wakikinga 🥹🙌🏼
2026-10-29 17:18:59
9
tumayrah295
Tumayrah❤️ :
Ahh mm wapo wazazi lakinj sina tofauti na yatima🥹🙏
2026-10-29 22:52:01
0
may018285
may :
Mimi pia nataka mume ambae Hana mama
2026-10-29 18:59:42
1
virginiasanka0
Ms Virginia 💫 :
Mmmmmmmmmmmh mmmhh mmmh
2026-10-29 22:49:48
1
barakah6666
BarakaH🇹🇿🇺🇸 :
respect namesake 🙂
2026-10-29 17:38:37
3
sebby_abas0nga
Sebby_abas0nga :
Hata kwa wanaume ivo ivo,,,
2026-10-29 19:31:41
1
reono02
Rebecca🌸 :
jmn🥲🥲
2026-10-29 17:41:08
2
To see more videos from user @nombogazim, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About