@kibegi.tv6: MMsanii wa Bongofleva ibraah amchana makavu marioo kuwa nimshamba hii ni baada ya ibraah kueleza katika moja ya mahojiano yake kuwa alimpa marioo nyimbo kumi azipitie hata hivyo majibu ya marioo hayakuwa mazuri kwa ibraah... @KIBEGI 🎙

KIBEGI TV
KIBEGI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:18:02 GMT
64740
3325
47
21

Music

Download

Comments

user8884394685578
dj dastan 255 :
bro ure so talented and we know it...so dont talk about somebody...
2026-10-30 14:37:15
0
mrmturuki
mr mturuki :
nakupenda 💘 vile unavyo jikubal broo
2026-10-29 18:15:29
31
rizikiswai318
Riziki Swai8 :
owa we noma san brooo
2026-10-29 18:52:59
18
mrsommer77
Mr HiM :
Dogo yupo Sawa
2026-10-29 18:38:59
19
jofrey.kambo
Jofrey Kambo :
nakubali mtoto wakiume abembelezwi
2026-10-30 09:40:15
5
user994150916710
Ba Jayden 🇹🇿👁️ :
maisha yanahitaji kujiamniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-10-29 21:48:07
7
jay.tz700
Jay Msafi :
ibrah amna kurudi nyuma endelea kufanya vizul2
2026-10-30 08:51:43
4
philipo9576
fb*****1 :
unakubalika sana wew lkn acha kuzumgumzia huyo wewe focus na kazi
2026-10-29 19:34:19
1
user3244720010382
user3244720010382 :
ibrah umeongea point sana kaka
2026-10-30 07:29:16
3
dionizi2002
Dionizi_Mbogo :
uhakika san bro
2026-10-30 19:33:23
1
hassanachimwene
Hassan Achimwene :
pamoja kaka
2026-10-30 08:52:58
2
user1484259556339
Imani kuu kwa aliye juu :
saaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiiii ibraaah kwa haaaaaaayoooooooo maaaaaajiiiiiiibuuuuiu
2026-10-31 08:58:32
0
petrosang2
petro plumbing :
ambao tunamuelewa ibraah ni wale ambao tunapigania kitu ila milango inafungwa ila mung yupo uta pita TU katita yao ongeza juudi inshallah kitu kizuri kitakuja kwa neema zake tukiacha tofauti zetu
2026-10-29 20:51:15
3
ndemba.joseph6146
Ndemba :
Uwag na Sri bab mondi anakataliw na kina Chris brown marekan uko ila sjawah tangaz
2026-10-29 22:39:39
0
wetson108
FILAE(food is life and energy) :
siend tena kwenye shoo yake paje kesho
2026-10-29 20:30:53
2
zantybobo
zantyofficial :
Heeeeeeeeeeeeee
2026-10-29 20:17:42
1
ackrabyiharuna7
really serious 💥❤️💯🔥❤️ :
2026-10-29 18:00:54
2
ammyfaty8
🌹Ammy faty🦋🦋 :
pamoja ibraa
2026-10-29 19:22:13
1
user5908707204274
user5908707204274 :
🤣🤣🤣 tenaa
2026-10-29 19:52:36
0
supra.zoma
Supra Zoma :
kweli ibrah
2026-10-29 21:58:32
0
snoopgeorge4
Snoop George🎙️🎬🎧🎤 :
haaaaaa
2026-10-30 03:42:11
0
emmanuel.peter87
Emma%Boy% :
Nakubali 💪💯
2026-10-30 20:13:44
0
udhaiffa
Udhaiffa🥰 :
sana mwanang nakubali
2026-10-29 21:41:03
0
jacklinepascal1
Jackie🌸 :
ila watu mbna ibrah hajasema marioo n mshamba kasema n ushamba
2026-10-29 17:58:39
6
s..m..iniesta16
Said iniesta :
achana nao washamba kabisaa yani
2026-10-30 08:32:00
1
To see more videos from user @kibegi.tv6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About