@kendrick_kalisah: Watu wa karibu na Ibraah wajitahidi kuzungumza nae suala la kumuongelea Marioo kwenye mahojiano yake kauli zake hazina faida kwenye muziki wake zaidi ya kutengeneza chuki baina ya wasanii wenzake" Alisema Kendrick Kalisah kupitia Fact on Point 🎙 | @kendrick_kalisah #manaratv #manaratvupdates

Kendrick Saidi
Kendrick Saidi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:26:55 GMT
4771
316
11
4

Music

Download

Comments

jacobisrael036
Israel jacob (以色列雅阁) :
marioo yupo Sawa nyimbo sio kali 😂😂
2026-10-29 20:35:12
0
anneyeric1
Anneyeric :
Atapotea kvp,,,kwan mario ndo mwenye game
2026-10-29 17:49:51
1
lucasmassawe55
Mkomongo :
hivi kwanini mtu akiongeaga ukweli mnapenda kusema atapotea acheni hayo mambo
2026-10-29 21:04:30
0
user762658185128
ʉ₦jʉ :
𝙞𝙗𝙧𝙖 𝙮𝙪𝙥𝙤 𝙨𝙖𝙝𝙞𝙝𝙞 𝙬𝙖𝙨𝙖𝙣𝙞𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙜𝙞 𝙖𝙬𝙖𝙥𝙚𝙣𝙙𝙞 𝙠𝙪𝙨𝙖𝙥𝙤𝙩 𝙬𝙚𝙣𝙯𝙖𝙤
2026-10-29 20:36:02
0
mkali.chuga.ogs
mkali chuga ogs🫶🫶🫶🫶 :
sanaaaaa ibraaa nakubalii
2026-10-29 20:53:45
0
mtulaamri
mtula amri :
now I'm free to move from Tanzania to any country needs me [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-29 20:19:36
0
deebrand.27
IT'S DEE🚬🎤 :
Wanao amini ibraah mkali akiwa upande wake na Marioo mkali kwa upande wake gonga like [Pray][Pray][Big LOL]
2026-10-29 20:19:20
0
halufamwailuka
Halufa Mwailuka :
wew zalau dg
2026-10-29 19:57:55
1
pappie_toze
𝐏𝐚𝐩𝐩𝐢𝐞𝐓𝐨𝐳𝐞👑🌍 :
😂😂😂
2026-10-29 19:53:05
0
To see more videos from user @kendrick_kalisah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About