Maproducer tu ndo wanaoelewa anachosema mr Touch anasema ukwel😂🔥
2026-10-29 19:28:05
16
King Fahad 1980🕋 :
Kweli kabisa loops zilikuwa nyingi 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-29 19:26:57
10
THE TRAVELCHIEF :
Madam mtangazaji anaushabiki kwa kizz madam kafeli kama mtangazaji Ana defend upande wa stokiz madam utangazaji sio politics it’s fairness in freedom of expression and not defending any side
2026-10-29 19:06:32
10
Edson Godfrey kitivo :
T tach uko sahihi aiseee hata Mimi Kuna watu nimewaambiaa anafanya watu maloop maloop kibao kama angeweza kufanya arengment kupitia keyboard kwa mfano
anaaanza kufanya Drams snea shekaz Kisha kufanya melody ya vinnda sio kutumia Sample ...watangazi.wengi hawajui music hawawezi kumuhoji mtu kua mziki unaanzaje kutengenezwa waooo wana sikiaa maloop wana furahii hahahahah
2026-10-29 18:33:56
20
HajatFatma :
m naona apaa mr.T angepewa nafasi atengeneze beat ilii wa2 mmwelew [Cool][Cool]
2026-10-29 18:38:29
22
4G :
king torch noma
2026-10-29 18:42:32
12
crystaldeedone :
Bwana msinichanganye
2026-10-29 20:12:59
4
Presenter Sam🎙️255 :
Sikia wewe usishadadie vitu usivyo vijua ila Touch.[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 20:23:11
3
Ideas 💡 :
nani atakubali ku battle na T Touch nani uyo
2026-10-29 18:39:04
12
Mamen mo :
king parazoooo🔥🔥
2026-10-29 18:09:58
13
Nick :
king palazzo
2026-10-29 18:49:54
8
B.I.G :
TOUCHIIIIIIIIIIIII
2026-10-29 22:32:09
1
sudy :
Alileta zarau kwa brothers zake msichokijua producer wengi wapo nyuma ya mr t touch. s2kizy aliwai kusema ukimtoa P funk anafata yeye yani alizarau producers wote akajivika crown now diamond kamtema mr t touch anampelekea moto anajua hana kinga tena kutoka kwa mondi
2026-10-29 22:33:15
1
PAVBEATZ PRODUCTION :
The king sound
2026-10-29 19:24:03
4
kingsmile😃 :
na akuwezi😃
2026-10-29 18:38:38
7
DJ BONI MR MISONDO🇹🇿 :
King parazo yupo sahihi kuna sehemu unasikia anatesti kinanda alafu code Zina Lia vingine
2026-10-29 18:58:45
5
Fundi Maiko Abdi Mgwao :
T touch wamemnana ameshindwa kuelekeza ila jamaa alikua anawacha channel Tu apo nimeongea kifundi
2026-10-29 18:31:05
5
SAFAR STUDIO :
hipp namkubal parazo ila amapiano oya mhun yule ana kela na kama sio yeye anaepiga bas anaepiga ni mwehu anajua
2026-10-29 18:29:00
4
boxcode :
zile ni drumloops kweli
2026-10-29 19:33:53
3
mozmilan998 :
Sahihi Touch💯📌
2026-10-29 19:28:14
3
Crappy Ke :
Mr T mkali hwaga namsikiza sana Kenya
2026-10-29 19:34:10
4
REMEDY MUSIC :
Mr T ana point kinamna[Laugh approved]
2026-10-29 20:45:14
1
smith The Beat :
OK
2026-10-29 18:12:39
3
RAMA-C ON THE BEAT🪘🎶 :
🔥🔥touch ni moja kati ya watu wanao jua production
2026-10-29 20:57:04
1
To see more videos from user @presenter_sam255, please go to the Tikwm
homepage.