@tumainitv: Paroko wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu - Posta, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Denis Wigira, leo Oktoba 29, 2026 ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuwaombea Marehemu na Waathirika wote wa Matukio yaliyotokana na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Misa ambayo imehudhuriwa na Waamini kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo hilo, iliyoadhimishwa katika Kanisa hilo. #tumainitv #radiotumaini #tumainiletugazeti
Tumaini Television
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:41:07 GMT
Music
Download
Comments
charznyimbo :
Padre my class mate St. Peter’s seminary.. morogoro
2026-10-29 18:50:59
3
Salome paschal :
ndomaan najivunia kuwa mkatoliki
2026-10-29 19:20:50
4
hildarichard08 :
Raha ya milele uwape Ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie
2026-10-29 21:22:09
1
juliangallo345 :
wapumzike kwa amani
2026-10-29 21:07:51
1
Joseph Mbilinyi :
Raha ya milele uwape eebwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu wote wapumzike kwa amani amina
2026-10-29 21:54:33
1
oliver haule :
wapumzike kwa haman
2026-10-29 19:44:08
2
G .A :
wapumzike kwa Aman
2026-10-29 20:09:38
1
emmanuelleikoyo :
Ndugu zetu walio uwawa october 29 wapumzike kwa amani 🙏🙏
2026-10-29 19:09:48
1
angel 💯 :
Furaha ya milele uwape ee bwana..wapumzike kwa aman
2026-10-29 18:42:49
1
Alex Maemba :
pumzikeni kwa amani
2026-10-29 22:53:26
0
Tunge MJ :
Raha ya milele uwape Ee bwana,na mwanga wa milele uwaangazie.WAPUMZIKE KWA AMANI NDG ZETU MAREHEMU.AMINA
2026-10-29 19:32:48
1
fandramas26 :
Ndo tujifunze kutii sheria za nchi
2026-10-29 21:17:12
0
Khashtash Mlala :
r.i.p
2026-10-29 20:54:44
0
VERO :
wapuzike kwa amani
2026-10-29 19:28:43
0
careen NJau :
wapumzike kwa amani amina
2026-10-29 19:50:00
0
Charles wa moshi :
wapumzike kwa amani😭
2026-10-29 20:05:07
0
Mwinga Mwandwanga :
wapumzike kwa aman
2026-10-29 20:36:32
0
Ernie,cute🥰 :
Wapumzike kwa amani ndugu zetu malehemu
2026-10-29 18:06:26
0
Tryphon :
r,I,p
2026-10-29 18:32:21
0
Veronica sanga :
mungu,uwakumbuke
2026-10-29 18:33:28
0
vickys083 :
Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa mille uwangazie marehemu wote wapumzike kwa aman Amina 🙏
2026-10-29 18:37:59
0
Lidia Joseph :
wapumzike kwa amani
2026-10-29 22:55:03
0
mamboroso :
wapumzike kwa amani
2026-10-29 19:22:29
0
Hyasinta Shayo :
wapuzmzike kwa Amani
2026-10-29 18:36:14
0
Julie Richy :
Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani 🙏🙏
2026-10-29 18:11:16
0
To see more videos from user @tumainitv, please go to the Tikwm
homepage.