@thechanzo: Hatujui miili iliyopotea ilizikwa wapi "Tukasikia maiti zimepotea. Niliona wahusika wanazika nguo, viatu. Kuna mengi ambayo hatuyajui: miili iliyopotea ikapelekwa wapi? Wengine wanasema ikazikwa kwenye makaburi ya jumla. Hatujui wako wapi," Mama Lutgard Kagaruki akizungumzia kumbukumbu yake ya Oktoba 29.

The Chanzo
The Chanzo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:48:55 GMT
32530
1646
27
18

Music

Download

Comments

bimganga88
bimganga :
walipoharibu mali na wenzenu mliona sawa.
2026-10-29 18:48:28
3
l.mgimba
Leslie Mgimba :
kwanini Samia....why all this?
2026-10-29 18:11:37
6
sumafamily1
suma famiy tz :
TUNAOJITAMBUA KWASASA TUZINGATIE AMRI 10 ZA MUNGU HAHIKAKA TUTABARIKIWA TUNAKOELEKEA SIKO NDUGU ZANGU TUMRUDIE MUNGU JAMANIII
2026-10-29 19:46:57
3
israelmollel0
masai istore :
Mama taratibu unaniumiza na kauli hiyo
2026-10-29 18:37:08
2
maryamjoharamani
lala_almahroqia :
Hata walio uliwa na Mkapa Pemba wengi wamepotea baharin wengine hawajulikani walizikwa wapi
2026-10-29 19:32:05
0
renymoney
Reny Money :
Mungu LIPA KISASI
2026-10-29 18:57:21
1
officialkidaleki
Official kidaleki :
Kwan uyu nani jamn 😳
2026-10-29 18:54:08
0
mariamomary598
Mariam Omary :
inauma
2026-10-29 18:41:26
1
elshavinjoel
Elshavin Joel :
oa sautiii iooo
2026-10-29 16:58:14
1
kombe5930
kombe :
Kwakweli atasijuwi wanajisikiaje wapo madarakani kwa dami
2026-10-29 17:50:04
7
eyoub42
Ayubu :
We ndio ujui bbc wanajua ile picha ile sio uwongo jmn
2026-10-29 17:01:37
2
irene.mrema1
Irene Mrema :
😳😳😳
2026-10-29 18:33:02
0
qnizzytracie
Tracie home of decor 🌺🌺 :
😭😭💔
2026-10-29 18:33:28
0
tunuduncan
It’s Tunu :
💔
2026-10-29 18:43:31
0
eva.kiwia
Eva Kiwia :
😭😭😭🇹🇿
2026-10-29 18:28:40
0
halymissy
Missy💐 :
😒😒
2026-10-29 19:17:49
0
To see more videos from user @thechanzo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About