@ghazal.tv1: GHAZALONLINETV — WEMA UNAO DUMU Karibu GHAZALONLINETV, kituo kinachokuletea habari, mawaidha, elimu ya Kiislamu, Maulid, Qaswida, Qur’an na matukio mbalimbali kutoka Tanzania na sehemu nyingine. TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU: ▶️YouTube: GHAZALONLINETV Instagram: GHAZALONLINETV Facebook: GHAZALONLINETV TikTok: GHAZALONLINETV SUBSCRIBE • FOLLOW • LIKE • SHARE Usikose video, live na matukio yetu mapya. GHAZALONLINETV — WEMA UNAO DUMU #Ghazalonlinetv #WemaUnaodumu #IslamicMedia #Kiislamu #Maulid
GHAZAL ONLINE TV
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 16:50:22 GMT
Music
Download
Comments
mu :
afkari ndo kusema je?
2026-10-29 22:10:18
2
user6999470852614 :
Tafadhali mkiposti maada mmalize mpaka mwisho tutajifunza vipi kama shekh ajamaliza maada yote
2026-10-29 20:06:01
19
bishop.ludq🏝️ :
shekhee Asante ila jitaidi uongee haraka.haraka
2026-10-29 20:04:14
1
FammyKid2018 :
me nimepigwa vyote wakuu msaada!
2026-10-31 09:43:30
0
Addicted :
Ilinikuta hiyo usiombe
2026-10-30 06:42:39
1
Al Qur’an :
Sheikh ananitaja mimi kabisa😢😢
2026-10-29 18:40:52
7
Shafii Broken :
mganga mungu
2026-10-30 07:39:05
1
Dj Ndora :
duuuu mbona ni kama mimi
2026-10-30 13:31:58
3
Happy nation :
Muendelezo
2026-10-29 19:48:18
3
@salmahemed4 :
mimi huwa najijuwa, hasa nikirudi kutoka kwe mikusanyiko ya watu, huwa nasoma ikhraswi 3 Kisha namswalia mtume
2026-10-30 11:44:56
2
lopezy :
Dawa ni nn juu huyo ni Mimi kabsaa napitia
2026-10-29 21:58:02
2
kamilove ❤️🥀🪷 :
you tube haipo hamjaweka
2026-10-30 10:27:20
1
Rey luxe :
namba za Shekh
2026-10-30 06:38:57
2
user36619121751400 :
sheikh umegusa ndipo kabia
2026-10-29 19:17:32
3
QG :
kuna maana gani ya kutoa elimu nusu nusu em fanya kwaajiri ya Allah usifanye kwa faida zako
2026-10-29 21:26:34
1
Madam Fatma :
Adhkar Gani?
2026-10-30 09:59:18
1
Dullayo :
Allah Anilinde na husda zote za watu wabaya Ameen
2026-10-31 04:39:55
1
Abdulfattah mohammed :
muendellezo
2026-10-29 18:38:03
2
Naslly🍓🫶🏻 :
Sub hna allh mbona kama unaniongelea mimi🥺🥺
2026-10-29 21:23:04
1
FARIS KAPETO :
sheekh Mimi nataka unisaidie utanisaidiaje
2026-10-29 19:57:13
1
Asiye.Wake.Ana.mungu :
Allah.Atuepushe.nakijicho.na.hasadi.uchawi.Ameen🤲
2026-10-30 00:43:57
1
rosesandi :
Niko hivyo
2026-10-31 19:21:30
0
Furniture discount :
jisomee hii MTUME (s.a.w) aliwasomea wajukuu zake Hassan na huseyn
A'uudhu bi kalimaatillaahit-taammaati, min kulli shaytwaanin wa haammatin, wa min kulli 'aynin laammah.
Ninajikinga kwa maneno makamilifu ya Allah dhidi ya kila shetani, kila kiumbe chenye madhara na kila jicho baya."
2026-10-31 14:05:51
0
Furniture discount :
soma A'udhu bi kalimaatillaahit-taammaati min sharri maa khalaq.×3 asubh na ×3jion baada ya swala ya Alhasil
Maana:
Najikinga kwa maneno makamilifu ya Mwenyezi Mungu dhidi ya shari ya kila alichokiumba.
2026-10-31 13:58:19
0
lymx saha🤡 :
mbona kama mm😑
2026-10-29 19:58:30
0
To see more videos from user @ghazal.tv1, please go to the Tikwm
homepage.