tena apo unakuta baba ka jinyima yeye ili mwanae apendeze na kufurahi ee Mungu wabaliki wanaume wote wanao pambana kwaajili ya watoto wao na familia zao. kwa ujumla amiiina 🥺🥺🤲🤲
2026-10-30 06:30:57
357
princess nelly :
amependeza sana jamani
2026-10-29 17:27:01
30
aggy meela :
sema wkt mwingine mshukuru mungu kwa mama aliyekupa uyu mtot kaka angu mmependeza sana
2026-10-29 17:54:27
131
mwajay cut :
nakupenda to unavyo mpenda mtoto wako kunawegine sasa
nimezaa wa toto ila Mungu ndo anajuwa ninacho pitiya mamake we Jack popote ulipo ulaniwe,,,, mtoto atakapo kuwa atakuja mwenyewe,,,,, Daaah inauma ila Basi t ntapata mwengine atanizalia t
2026-10-30 15:17:02
1
mujunvicta :
Mungu nijalie na Mimi Jumapili hii nipate mchumba tupate mtoto kama huyu🙏🙏
2026-11-01 05:19:38
5
Swaumu Rashidi :
mashallah nimejikuta nafulai tu wallah mungu awalinde
2026-10-30 14:04:49
3
twaibah :
hapa palipo Kauka kama maisha yangu itakua t dodoma 😂😂😂😂
2026-11-02 07:21:24
0
Bethina cute :
kama kijana wangu jaman kamependeza kenyewe
2026-10-31 09:30:19
1
Sir emmah official. :
Mbeya relin hii mzee baba au sio
2026-11-04 13:56:22
1
🎀pretty habby🧸💦 :
my family
2026-10-30 07:43:01
3
alivanwiliam :
katoto kazur
2026-10-29 20:39:38
4
masha2000 :
mungu nakuomba nipe mke wa kuowa mke nipat watoto ata 3 wametosha
2026-11-01 12:21:37
2
To see more videos from user @nayannpk_05, please go to the Tikwm
homepage.