@visiorvenny10: Katika hatua ya group stage caf champions league baada droo kufanyika hapo jana na timu zote kujua wenzao walio pangiwa nao kundi la @young africans sports club wamejikuta wote wanaogopana mashabiki wa yanga wakilalamika kuwa kundi lao ni gumu na mashabiki wa timu zao za waarabu nao wanalalamika hapa kaliki. Je wewe una lionaje kundi la daresalaam young africans Tukutane kwenye comment👇. #foryoupage❤️❤️ #fyp #youngafricans #viralvideo #fypシ
usiongee kwa nguvu kama tunawaogopa sasa waendee kutuogopa😅😅😅
2026-10-30 05:31:42
18
Surudele :
mim ananichekesh huyo wa mwishoo😁😁😁😁😂😂
2026-10-30 02:55:24
13
mythurm 12@ :
😂🤣🤣🤣🤣 iyoooooo lini iyooooo
2026-10-29 19:39:50
16
Empress👑Aira🌬 :
😅😂eh sasa hii tunaiita kuhofiana caf champion groups
2026-10-30 06:03:49
8
sadickkuwe :
Nawote Tunaogopana Kwery😂😂😂😂 Ani Mpka Sijui Aseee Jamanii
2026-10-30 04:26:43
7
MTP FASHION DESIGNER :
Kila washabiki wanachanganyikiwa kwa wakati wso[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 23:32:01
5
—it’s Kisha🌸 :
Mmgejua sahv tumekua wabovu 🥺🥺
2026-10-30 10:18:54
3
Juma mohamed :
𝐣𝐚𝐦𝐧 𝐦𝐮𝐦𝐞𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐥𝐚𝐤𝐧 𝐦𝐛𝐧 𝐤𝐦 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐲𝐨
2026-10-30 03:05:58
5
Zuh🤍 :
Mbn me nakuwa nachoka na haya mambo😂😂😂
2026-10-30 03:24:13
4
rey 879097 :
waambie kiarabu kwamba okello hayupo mayele hayupo na pacome wamemuumiza pia na sisi tunawaogopa😪😪
2026-10-30 15:18:01
1
MyMai😘 :
Ila Yanga Tishio😁😁
2026-10-30 09:45:39
1
saimon Plumber :
😆 hawa itakua wanaigombania yanga kua ndio timu nyepec
2026-10-30 04:56:31
5
Gem Official :
Ni mwendo wa kutishana tu mpaka mmoja aache ndara🤣🤣🤣🤣
2026-10-30 09:26:11
4
irene :
Hapa nimeanza kupata Amani kumbe na sis tunaogopwa🤣🤣🤣 ila Yanga ya saizi mtatuua na pressure jamani ebu kazeni jamani.. sijui wamekuwaje wachezaji hawa aisee
2026-10-30 08:24:39
2
suzan :
jamn wangejua hata kocha hatuna
2026-10-30 00:00:28
3
Bee💞💞 :
🤣🤣🤣🤣jmni hatun,kocha
2026-10-30 03:01:40
3
Fdl :
Hatariiiii kabisaaa
2026-10-30 14:16:56
1
Aimal Ado :
Pwagu n pwaguz
2026-10-30 18:15:09
1
To see more videos from user @visiorvenny10, please go to the Tikwm
homepage.