kaka vp kuhusu zile sigala ulizo kua unavuta kwenye gali
2026-10-29 18:41:48
18
J brizzy👑👑 :
daaah we mwanangu genius respect sana🥷💪🌴
2026-10-29 17:44:01
40
Rose 🌹 :
Hata Mimi sikuamini kama umepotea nilijua kuwa ni mtego tu🤜🤛🤝👍
2026-10-29 19:35:04
23
Musa Wa Upendo🇰🇪@Tcha Moses :
Roho yangu ilikuwa imesumbukana sana wiki nzima...kwa sazabu huduma yako imenibariki siku nyingi sana...Mungu apewe sifa kwa hii hekima yako...
2026-10-29 18:27:16
9
Baraka zabron :
dah!! umepiga pigaje hapo😂😂😂👏👏👍👍🙏🙏nimejifunza kitu ubarikiwe sana..
2026-10-30 04:50:58
9
Daudi simion Daudi :
neno la Mungu linasema usimjalibu Bwana Mungu Wako wewe baba ang unawajalibu watumishi wenzako hiyo siosawa kwa mm ninavyoona sijui nyiewenzang
2026-10-30 08:14:50
2
Florence Ngowi :
Kwani wewe umeitwa na nani ni Yesu au wanadam, upendo wa mwanadam haukusaidii kitu pendo ni moja tuu la Yesu. we unaacha kumtafuta Yesu unatafuta upendo kwa wanadam.
2026-10-30 10:52:21
0
Said Kalama :
love you my brother God bless you.
2026-10-29 19:09:33
11
The hunter :
asante kwa kuwa Bado umesimama roho iliuma kwa wiki mbili
2026-10-30 01:00:03
0
mkutano1952 :
dah mad respect
2026-10-30 12:23:07
0
Enock Siame :
powerful 💪👏👍 massage
2026-10-30 08:58:21
0
@ :
distraction
2026-10-30 09:19:06
0
It's Martha ❤️🩹🔥 :
😂😂 Unategemea upendo kwa wanadamu utasubili sanaa my dear Mi akinipenda Mungu inatoshaaaa
2026-10-30 06:09:08
0
John chky :
Amen 🙏 we love you God continue blessing you
2026-10-30 06:30:01
0
Paschal buzwile :
pasco nimekufatilia siku nyingi nilikuwa sina shaka wewe nimwanajeshi wa kristo
2026-10-29 19:00:17
11
jacobjeyb :
💪🔥🔥! God bless you more mtumishi
2026-10-30 06:25:38
0
I.am.Wakupoza :
Upo sawa mkuu wanabakia kuhukumu watu na kujionesha wapo sawa kwa kila kitu kumbe amna
2026-10-29 19:47:56
8
Fadhili.N.M :
jamaniiiiiiiii unacho kusema pastor Cassian nikweli kabisa tumeguswa na Mimi nikiwemo
2026-10-29 20:03:34
6
💥💥🌟The lion of Jude🌟💥💥 :
“Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
”
— Mathayo 4:7 (Biblia Takatifu)
2026-10-30 05:53:16
2
𝒫𝒶𝓊𝓁 -𝒰𝓏𝓏𝒾𝑒𝓁 ℬ :
SIFA NA UTUKUFU zimrudi BWANA YESU
2026-10-30 03:38:57
3
user9996599023610 :
Mungu akubariki sana ,,, na akutie nguvu,,,
2026-10-30 08:11:17
1
Mwalimu Ezekiel :
Acha kutufokea basi,we endelea2 wala usjali
2026-10-29 20:39:44
0
IBRAHIMU :
NA kwambia yaani kila mmoja alipost.
furaha imerejea tena.
nyimbo zako zinanibariki
2026-10-29 20:56:59
1
user9996599023610 :
Na usikate tamaa Mungu ako na wewe
2026-10-30 08:12:35
1
Enock Balali :
Amen amen nafurah kuskia Haya Mungu a mekutumia apendavyo kulifundisha kanisa... Kanisa laleo linajari mtu alie hai mwenye mchango kimwili kanisan.. [Pray][Pray]
2026-10-30 07:14:03
1
To see more videos from user @paschalcassian04, please go to the Tikwm
homepage.