@almecky_tz: Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini, Machano Othman Said amefika Nyumbani kwa Bi Fatma Sheha Shaame, Mkaazi wa Jimbo la Mfenesini ambae ni Mama wa Watoto 5 anaepitia changamoto ya maisha magumu baada ya kukimbiwa na Mume wake. Baada ya Mwakilishi wa Jimbo hilo kufika kumuona Mama huyo na kutaka kutatua changamoto zake ila Bi Fatma kakataa kutoa ushirikiano kwa Kiongozi huyo. #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending