@uhondo.tv: Kijana Kefasi Mtega (30), anayetuhumiwa kuhusika na wizi wa miundombinu ya umeme katika eneo la Iganjo hadi Sumbawanga, ameomba viongozi wamhoji kwa lugha ya Kiingereza pekee, akidai kuwa ndiyo lugha anayoielewa, au atafutiwe mkalimani.
Uhondo TV
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 18:07:31 GMT
Music
Download
Comments
Dipens :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] jamani jamani
2026-10-30 12:06:50
0
mycleler tripple🙂 :
Hadi Mwizi anaomba mkalimani😂😂😂. haya ni maendeleo makubwa kwa Taifa😅
2026-10-29 20:39:53
78
Severin Pascal :
wezi wa siku hizi wanaringa sana 🥺
2026-10-30 08:52:17
18
leen 💕💌 :
tulikofika kwa sasa nimechokaa 😁 sasa hadi mwizi anasema speak English kiswahili hua hawaongei 🙌🙌🙌🙌
2026-10-29 20:00:14
25
tayoboi m a t e y :
sio kingleza ndugu ni kingereza
2026-10-30 07:23:19
2
Am_MALUMEE :
am lasting
2026-10-29 19:36:19
10
Official Ally 💥 :
Mwizi anabembelezwa dah 😂😂
2026-10-30 13:51:28
1
Leonmiss :
[Big LOL][Big LOL]duh
2026-10-30 10:37:09
1
Lizzy 🩷 :
Kachanganyikiwa🥺🥺
2026-10-30 08:56:48
4
Brithnessy Payovela Frida :
nyiee 🤔🤔🤔🤔
2026-10-30 10:58:41
2
Mohammad Rajabu :
I'M LASTINI😁😁 NAKUSIKILIZA KIONGOZI😅😅
2026-10-30 05:18:15
4
tipitipy❤️🦋 :
si ndiy analinda bland wakuuu
2026-10-30 13:23:57
1
004 :
😁mwenzangu uyu kabisa
2026-10-30 13:05:08
1
Callmehuu💦 :
Mchumbaangu uyo
2026-10-30 11:05:15
2
TonyCliff :
Aaahhhh!!! nimecheka sana!!!!
2026-10-30 10:36:59
2
sauda zungu :
iam lastingiiii 😂😂
2026-10-30 12:23:32
2
MWAFRIKA_ORTHODOXIST :
😂 | mwizi yuko sawa kabisaaaa..nchi yenyewe imekaaa kingereze kingereza tu.
2026-10-30 11:46:11
2
man moo :
nakusikiliza mkuuu
2026-10-29 19:44:45
5
Japheth Joseph :
hahahaha
2026-10-29 21:25:39
4
Pendo Hassan :
asante kwizi
2026-10-29 20:57:25
4
actionboy :
Nikisemaa Nchii hii imetoboka mahali muwe mnanielewa 😂😂😂😂
2026-10-30 11:44:25
1
ALAMA STUDIO :
kingleza[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 20:38:47
2
grace :
tusiojua kingereza tutajuaje kinachoendelea
2026-10-30 06:00:48
1
Kaka _wa_njombe🥶💯💦🫧🌲🌲 :
eheeeeeeeeeeeeeeeeeee sjuyeeeee
2026-10-29 19:36:08
1
amunya_ndasso :
😂😂😂😂😂 Dah
2026-10-29 19:44:21
1
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.