SI akazichukuwe team nyengine km mbeya city azimiliki
2026-10-29 20:15:15
0
j4 :
katiba katiba
2026-10-29 20:24:21
0
official mush🕸️buibui junior :
mangungu bila action anawezaw kuona kama watu wanamuogopa uyo bila kumfata nyumbani kwake uyo ataichangany simba kwenda kwenye hiz mech za club bingwa na kwenye ligi anatafuta njia kuona simba inayumba apa karibu
2026-10-29 19:01:05
5
davijr :
Mangungu anataka atuvuruge
2026-10-29 19:28:25
4
Maya Magari :
🤣🤣🤣 sema kweli mzee anakwama sana yaan simb ipo ugenini ikipambania point tatu mzee wetu yp dar anaangaikia uwenyekiti wake🤣🤣
2026-10-29 20:37:56
1
elizabethmbugi :
huyo Mzee anatumwa kunawatu nyuma yake nyie hamjuwi
2026-10-29 19:48:42
1
jeffy jefy :
mnalia nini sasa
2026-10-29 21:09:50
0
modrickahmmed6 :
Huyonae nuksi tu
2026-10-29 18:29:23
0
melchiorjeremiah :
ajiudhuru tu
2026-10-29 23:46:14
0
Black boy :
Na apo ndio mmefunga moja😂😂
2026-10-29 21:19:28
0
Elias Mbua jehsjnndnbbebeiekeh :
mangungu tim ikifanya vizuri ndo we unachkia
2026-10-29 22:32:23
0
costa damasi isdoli :
timu yenu imeuzwa iyo
2026-10-29 21:14:31
0
gumbokingalu salungo :
mzee aondolewe tyu
2026-10-29 21:19:37
0
mapigano charles :
mangungu atukutakiiiatukutakiii
2026-10-29 21:03:53
0
Joseph Mnyamale :
2026-10-29 19:18:04
0
To see more videos from user @aggysimba2024, please go to the Tikwm
homepage.