nilicho gundua wakenya na Tanzania ni sawa na yanga na Simba na mshindi tunamjua😁😁😁😁
2026-10-29 19:13:41
95
king_kibe004🇹🇿 :
Gari ziko kamma miwa ya kagera[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 23:06:33
1
🤬Element_prowes🇰🇪☠️ :
just tell them to argue in English and enjoy the silence 😂😂
2026-10-29 20:33:58
23
Abby cute💝💗 :
Ila watanzania jamn nilichogundua sisi kwa midomo tumebarikiwa jamn😂😂😂
2026-10-29 18:43:18
712
Tasha⚡ :
ila imagine upate ajali kwa hizo bus za kenya😭.. it feels like you go straight to hell.. hata malaika wa heaven hawasogelei gari inakaa kama ghost transport
2026-10-29 22:42:10
0
Ñåãh🦋💫💕 :
Uyu amesema kama mbaya mbaya tu 😂😂😂
2026-10-29 18:54:50
211
it's me🥺🫂 :
i went through the video and bro skipped Kenyan's comments for his mental health 😂😂
2026-10-29 23:03:02
0
DJ HANCE🎧 :
Karibia Tz itakua capital city of Africa😂😂😂🤭
2026-10-29 18:59:55
57
MR G :
Wa Tanzania jamani duuh 😂😂
2026-10-29 18:44:56
29
UMMYKASSIM WA GAID PROMAX👩🍼 :
Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote 🤣🤣🤣🤣
2026-10-29 18:35:22
255
shii_628 :
tell them to come in English swahili is noisy braah 🇰🇪🇰🇪the capital city of Africa 🌍
2026-10-29 21:08:55
1
MBEYA BOY ..26RIFE :
Tanzania [Big LOL][Big LOL] aseee
2026-10-29 20:50:09
0
i'tc 🦋 Bella..🌹 :
😂😂😂 et unanyege kijana 😅😅
2026-10-29 18:42:21
46
🫧🥀Rabia chitele🫧🦋🇰🇪 :
we ndio wataka kuleta ugomvi sasa maana wakenya lkua hawajaona😆😆🙌🏽 najua mko huku🇰🇪
2026-10-29 19:02:39
27
Joel Msigwa :
Au nn vta ya pili ya dunia
2026-10-29 18:38:33
24
BIGMAN KUSHY :
Eti hadi u dictator amtuwezi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-29 21:35:52
0
Erica Egbe :
Ila twendeni mbele turudi nyuma, vita yetu watz na wakenya tunawezana wenyewe. Tuko kama watoto waliofuatana muda wote vita😹😹😹😹😹💔. Ila akiingilia mwingine kumchokoza mwenzie ugomvi unanunulika😹😹💔. Na tunapendana sana wakati wa shida na raha😹😹🙌🏽.
2026-10-29 19:12:15
31
user4398703598155 :
in Kenya that is school bus banner
2026-10-29 20:25:46
1
comfort_tz🇹🇿 :
Ntakupiga nikuuwe😂😂😂😂kwann unifanyie hvyo?
2026-10-29 18:49:45
18
Barkat Allyah :
msiziguze ABC tutapgana😂😂😂
2026-10-29 18:45:33
9
COCO MASTORY :
ety movie za mazombi😂😂😂😂
2026-10-29 19:45:52
8
🦅broks🦅 :
Ila bongoo daaah😂😂
2026-10-29 18:39:17
7
Nasma💊🩺💉❤️🔥 :
Me sauti ya huyu kaka naipenda bhnaaa🔥🔥
2026-10-29 19:40:22
13
tony wanyama :
tanzania tuko kama kombolela tunaumoja vipi
2026-10-29 18:52:31
5
Mjukuu :
🤣🤣🤣 ila watanzania bana eti hawatuwezi hata .......🤣
2026-10-29 18:59:00
6
To see more videos from user @mr_omni_tz, please go to the Tikwm
homepage.