@islamicswahilinet: KUFUGA NDEVU NIALAMA YA UAMINIFUKWA MUISLAMU Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 18:33:46 GMT
Music
Download
Comments
paka mtata :
allahu Akbar [Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-30 12:59:11
0
user3357272070402 :
Saf kbs waambieee
2026-10-29 18:39:06
2
khalfan seiph :
sheikh kuwa makin kweny maongezi yko
2026-10-30 15:24:37
0
Kasemire56@ :
nikweli
2026-10-29 18:48:09
0
Falis Swamidu :
Amina
2026-10-30 13:23:02
0
mariam j :
subuhanallah❤️❤️
2026-10-29 19:13:07
0
Kacm Kissuda :
Allahu Akbar
2026-10-30 05:25:56
0
mlambee :
naaam
2026-10-29 19:15:21
0
malenga mzito :
kama ukuta?😜
2026-10-30 12:07:12
0
JustaTz :
🥺🙏
2026-10-29 19:10:52
1
user150534252205 :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-30 12:28:29
0
🐒🐒kante boy udan gan🐒🐒 :
🥰🥰🥰
2026-10-30 11:27:04
0
rack fally :
❤️❤️❤️
2026-10-30 10:29:08
0
Abdul wahid :
🥰🥰🥰
2026-10-30 08:50:31
0
Issa Amadi :
🥰🥰🥰
2026-10-29 19:23:54
0
use757371766 :
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-29 20:29:38
0
zombie26 :
[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-30 14:02:36
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.